Search results

  1. J

    Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

    Mimi naona kuwe na serikali moja ya tz na kuwe na majimbo yenye sheria zake turuhusu ku accommodate nchi zingine kama majimbo yaongozwe na magavana,sheria wajitungie wenyewe nsiyo tutawaweza wazanzibar,chukua Burundi Rwanda uganda n.k
  2. J

    TRA wekeni mfumo wa wazi au App ya kuangalia taarifa za usajili na ulimiki wa Vyombo vya Moto ili kuepusha hizi kadi feki

    Magari yaliopata ajali una muuzia mtu kama scrp za kufungua spare a naomba na file,na anafanya transfer kwenye jina lake keso unaonana na gari kama ile mpya utamkamata inakuhusu nini nakwambia nimeyengeneza
  3. J

    Siri: Kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde

    Mimi naona huu mgogoro hauna sababu za msingi kwani dayosisi makao makuu yakihama ndio deni linafutwa
  4. J

    Dkt. Slaa: Nilijiona ndani ya moyo wa Rais Magufuli

    Legacy inawapa msongo wa mawazo,yule ni rais kichaa haojawahi kutokea,alikuwaanafanya restructuring bila kufuata principle za uchumi,Kaumiza watu wengi sana
  5. J

    Dkt. Slaa: Nilijiona ndani ya moyo wa Rais Magufuli

    Jamani kutoka ni kazi,nawaheshimu sana wale walio toka yaani kuuaga umasikini ila salute ka walio toka bila kuwa watumishi serikalini. Hata ukiongea nao wana akili za ziada Sasa huyu babu alionekana ametoka alipokuwa karibu na washika nchi ma ziara ya Canada Sweeden leo anakuja na njaa...
  6. J

    Miaka 3 ijayo Dunia ni tofauti kabisa, Rais anaongelea kuongoza miaka 9 ijayo leo hii?

    Sisi tuataka katiba mpya bora uchaguzi uchelewe mama anakwenda kuweka historia,kama mlizoea mavyeo ya damu na dhuluma mtaji uchawa ekwisha
  7. J

    Miaka 3 ijayo Dunia ni tofauti kabisa, Rais anaongelea kuongoza miaka 9 ijayo leo hii?

    Atakaa tu huyu sio yule aliyesema atakaa infinite akatwaiwa
  8. J

    Nobel Prize inamnyemelea Rais Samia

    Sisi kazi kazi hiyo kwanza makundi ya uchaguzi ndani ya ccm yakae nae mbali ili afikikirie katiba mpya tu, uchaguzi wa kung'oana meno na kuminyana korodani hatutaki mama sasa ni 9yrs bila uchaguzi wa kitapeli
  9. J

    Kuna haja ya Rais Samia kufundishwa jinsi ya kudhibiti hisia zake anapoongea/anapohutubia

    Huyu ni mama hata mamayangu yupo hivyo watch your approach toward her,hatutaki uchaguzi 2025 mpaka amalize mambo ya katiba mpya,uchaguzi mpaka katiba mpya mkiita ucgaguzi bila katiba hatupigi kura mpeleke na juisi za wasimazi hatuji,tumchague nani bila katiba? Magufuli mwingine?
  10. J

    Hai, Kilimanjaro: Komandoo Adamoo na wenzake wazawadiwa ng’ombe dume kila mmoja

    Ccm hamna mwanasisa ona walivyo paisha watu
  11. J

    Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kuitumia Ibada ya Sadaka ya Shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa

    Wewe unaugojwa wa chagademia tulionao huku hawana lolote kuna wapumbavu kama huko kwenu
  12. J

    Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kuitumia Ibada ya Sadaka ya Shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa

    Sisi rutheran tunafikiria sadaka tulizo pata nita kusifu sana sana kama uta mshauri Mama samia alete sadaka yake rutheran, ila hata msikitini sawa,Mbowe kaenda katika kigango chake kwao kijijini na wala sio tukio kubwa kikanisa shoo niaskofu wa dioceses hiyo kipi kibaya. Rutheran wanajenga...
  13. J

    Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

    Yeye tu ndiyo aliyaona hayo mahesabu kuna kudaiwa na ni negotiation hasa kama deni ni makosa yao kwenye ukadiliaji
  14. J

    Ni ipi sababu ya Rais Samia kuwa karibu sana na kuipa uzito Nchi ya Oman?

    Ndiyo maana naamini katiba mpya itakuja itatokea zanzibar mnaopenda vyeo vya bwerere kwakupora wengine uchaguzi mjiandae kisaikoloji
  15. J

    Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

    Mbowe anaongea ukweli pamoja na kwamba sio wachagga tu japo wengi ni wao issue ni kwamba aliwachukia wafanya biashara wakubw walio chuma awamu zilizopita akiamini wezi hivyo ukiongea wafanya biashara kundi kubwa ni wao.ukweli usemwe mwendazake amevunja rekodi.kwamambo ya kikatili.
  16. J

    Hongera Rais wa JMT. Nimeona nyumba wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro huku Handeni. Kusema kweli unastahili kuwa Rais wa JMT

    Legacy gani angekuwa jiwe wangehama kwa vipigo wala asinge reallocate
  17. J

    Upinzani umezikwa rasmi Tanzania

    Sio ndiyo vizuri ili tusifanyiane fujo na tugawane viti vya u ungejua n.k
  18. J

    Suala la Kofia mbili laibuka tena CCM

    Na hapa ndipo udikteta ndani ya ccm ulipo,ila warekebishe baada ya mama kumaliza muda
Back
Top Bottom