Mtoa mada, Charles kasema ni mali ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanxibar na sio sehemu ya Zanzibar, bendera haikuhitajika kuwekwa kwa vile inabakia kuwa ni sehemu ya Tanganyika.
Kama hiyo ardhi ilikuwa haitumiki, however, mimi sioni ubaya kupewa mtu mwengine ambaye ataitumia na kuleta manufaa...
Kumbuka kwamba wenzenu mumewaibia nchi nzimaaa nyie umeme tu unawauma kiasi hicho!
Kwa upande mwengine Wazanzibari wanakubaliana na wewe huu muungano ni wafigisu tupu bora tu uvunjwe!
Tofali 2500 ni za kuinua boma (ignore roofing design). Foundation unatumia nini? Tofali 2500 zinakula mifuko ya saruji 32 roughly. 18 iliyobaki itatosha kwa foundation na zege?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.