Search results

  1. E

    Lipumba wamemsahau

    Atakua mwenyekiti wa NEC.
  2. E

    Kikwete kuteua wakuu wapya wa mikoa karibuni

    hivu huu umamamkwe unakuja vipi? Mana huyu mama historia yake tokea nipo shule yeye ni viti maalum tu, je sikuna hatari watu wakawa wamekula kuku na kifaranga chake? Hili nalo neno!!!
  3. E

    Maina Owino wa CCM UK awashukia wabunge wa CHADEMA juu ya kumsusia JK

    hilo jina tu linaonesha kuwa si mtanzania.
  4. E

    kipimo halisi cha uzoefu kazini ni kipi?

    kipimo halisi cha uzoefu kazini ni idadi ya tuhuma za ufisadi.
  5. E

    Dr. Slaa: Shitambala hana hatia

    viva PHD
  6. E

    Shitambala ajiuzulu uongozi wa CHADEMA Mbeya!

    Mnatuchanganya na source zenu, ninaangalia TBC 1 sasa hivi Dr. (PHD) Slaa kamwandikia barua Shitambala kuwa uchunguzi umefanyika na CDM imejiridhisha kuwa Tuhuma hizo si za kweli hivyo Shitambala aendelee na Uongozi wa chama.
  7. E

    Chadema (Mbowe): We recognise the president

    Msipotoshe uma jamani CHADEMA haikatai kuwa Baba Jizi ONE ni rais wa NEC ila CDM inapinga wizi wa kura unaomfanya JK aendelee kukaa Ikulu
  8. E

    Mchungaji Rwakatare naye atoa tamko...

    Kama mungu wa huyu mama ni Luis Makame basi yupo sahihi
Back
Top Bottom