Search results

  1. B

    Vip kile kipindi cha Pro.Shivji pale ITV kuhusu katiba mpya?

    Aibu ni pale mtu anapomkandia mtu kwa sababu ya uwezo wake mdogo wa kuelewa kile anachosema! Baadhi ya watu humu hawamwelewi Shivji, huwezi kusema Shivji hataki muungano. Wengine wamesoma maaandiko yake ila hawakuelewa, bahati mbaya kweli hii!
  2. B

    Chinese Cooking Oil “Made from Sewage”

    "Nations importing cheap cooked foodstuffs from China may also be concerned that they have been inadvertently poisoning their children by trading with a nation in which regulation and business ethics are all but unknown" Tuwe makini sana na propaganda za nchi za magharibi dhidi ya China. Kama...
  3. B

    Maaskofu

    Moja kati ya shutuma juu ya kanisa katoliki kuhusika na mauaji ya kimbari kule Rwanda ni kukaa kimya na kutokuwa proactive wakati dalili za machafuko zilipokuwa dhahiri kabisa! Halikadhalika "role" iliyochezwa na kanisa hilo wakati wa ukoloni wa kupendelea wa-tutsi then wahutu. Sasa hapa...
  4. B

    BAKWATA na Mauaji Arusha

    Tusikimbilie udini wakati tatizo lipo wazi
  5. B

    Maaskofu

    Maaskofu wanapotoa maoni kwanini tusiyachukulie kwamba ni maoni ya watanzania wenzetu? Kwanini tukimbilie udini wakati hoja ya msingi ipo mezani?
Back
Top Bottom