Search results

  1. M

    Tafakari.Mbinu Mpya ya Upigaji Serikalini

    Kuandaa mikataba yenye mapungufu.kuivunja.mahakamani.kushindwa kesi nakugawana fidia.ni mawazo na ndoto ninazoota mchana..zinaweza kuwa zabunuasi
  2. M

    Mashine za EFD: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wayafunga maduka mkoa wa Morogoro

    Maduka karibia yote yamefungwa na mamlaka ya mapato Tanzania mkoani Morogoro wakiwalazimisha wafanyabiashara kununua mashine (750,000) ndio ufunguliwe, na seal wanaweka. Hii nchi tuendako sijui kama tutafika... NB: Ugawaji umeishia wapi wa mashine? Mbona Tanesco wanafunga luku maana ndio...
  3. M

    Mgao wa Umeme, Uchaguzi Mkuu na Nchi ya Viwanda

    Leo ni miaka zaidi ya 50 toka nchi yetu ipate uhuru nishati ya umeme na maji ni tatizo la kitaifa lakini kuna watu wachache bado wanashabikia mfumo s.s.m Leo Watanzania wenye kuendesha maisha yao kwa kutegemea nishati ya umeme ni taabu na dhiki kubwa huku mtaani, ukiwaangalia wenye Mashine za...
  4. M

    Hata Marekani hubadili Vyama, Why not Tanzania?

    Watanzania tuwe na fikra pevu juu ya maendeleo maana hatuwezi kutoka hapa tulipo bila kubadili vyama na mifumo iliyopo..maana hata nchi zilizosonga sana kimaendeleo hubadili vyama.Waswahili husema kuchamba kwingi......? Kubadili vyama na mfumo ni muhimu
  5. M

    Taswira ya Mwenyekiti wa CCM Yaashiria wasiwasi, hasira au chuki?

    Leo nimemwangalia kwa makini Mh JK nikagundua si yule wa kabla ya kukata.Au?
Back
Top Bottom