Search results

  1. M

    CCM Wazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Udini wa Lowassa na CHADEMA

    Nape, achana na CCM kwa sasa kw sababu hata ubunge wako ni mashaka matupu. Pili mikutano yote ya CCM mh.Magufuli anasalimia kwa lugha, hata juzi Morogoro Mh.Rais tulimsikia anatumia kipogoro. Tofauti ni nini kwamba moja kasimama kanisani na mwingine kwenye jukwaa la kampeni.
  2. M

    Kamanda Lowassa: CCM ni hodari kwa kuiba kura

    Faiza likizo imekwisha, usipindishe mada, babu kaamua kupumzika na wajumbe aliridhia. hoja iliyo mezani ni uwizi wa kura
  3. M

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Lipumba na Slaa walidhani wao tu ndo wenye hati miliki kugombea UKAWA, sababu ya UKAWA kutokuwa na mgombea mpaka juzi ni mivutano kati yao ya nani asimamishwe. Wote wamejaa uchu na kutokuangalia uhalisia. It is shame kwa Prof. mzima kutoa sababu za kitoto. Historia imeandikwa na itamhukumu
  4. M

    VIDEO: Kitila Mkumbo aunga mkono hatua ya Lowassa kujiunga na CHADEMA

    Ritz nakubaliana nawe kabisa kwamba CHADEMA na Lowasa hawafanani. While CHADEMA wanataka mageuzi ya dhati Lowasa wants to prove wrong waliomfikisha alipo. Hilo hata Kitila hawezi bisha. Walichofanya CHADEMA ni kufunga ndoa ya mkataba au ndo yenye maslahi kwa pande zote mbili. Sikonge: Kitila...
  5. M

    VIDEO: Kitila Mkumbo aunga mkono hatua ya Lowassa kujiunga na CHADEMA

    Kitila walitarajia Lowasa aende kwako ili wapande chati na chama chao kipya. Lakini Lowasa kaona atapoteza kuliko kupata kwa kwenda huko akaamua kwenda CHADEMA. RITZ msikilize anasema kwa uzuri na ujinga wao, hajasema kwa ujinga wao.
  6. M

    NAPE ajibu hoja ya Kudhoofishwa kwa Dr. Slaa...

    Wapendwa wana mageuzi, nimekuwa nikifuatilia habari ambazo sasa zimekuzwa kana kwamba ndo mstakabali wa Taifa. Kwamba Dr. Slaa ana card ya CCM na kwamba Nape anamwita babu. MAda yangu ina base kwenye Dr.Slaa kuitwa babu na Nape tena kiongozi wa juu wa chama pinzani na zaidi ambaye yuko karibu na...
  7. M

    Ushahidi wa Video ya Hotuba: Kagasheki asibishe yoote aliyoyasema kuhusu Meya haya hapa!

    Part one ya speech ya huyu mzee nimeipenda hasa kuanyia 22.00. Sikujua hofu ya chama changu ni SLaa, Kagasheki anamwogopa Slaa liasi hiki kwamba anajihadhari ili akitembelea jimbo lake asiseme uozo. Kwamba hofu ya Slaa ndo inaleta mkanganyiko kwenye chama, duh
  8. M

    Secrets of Swiss Banking - Kitabu

    Mkuu invisible many thanks for bringing up this topic. Niko Swiss and hawa jamaa uchumi wao unategemea pesa za mafia from all over the world. Hawana chochote zaidi ya benki ambazo ni maficho za madictators and mafia groups. Wamarekani ndo wamewakamata since Obama took over the office. Kwa sasa...
  9. M

    Nataka kugombea ubunge Karatu 2015

    Lori!Una uhusiano wowote na Lori wa CCM ambaye kwa miaka zaidi ya 20 sasa anagombea kwa CCM Karatu na kupigwa chini. Kaa chini utafakari ila ninavyojua hali ya siasa kwa Karatu bado una safari ndefu
  10. M

    Mzee Wassira shule yako dawa tosha!

    Nape nasikitika kwa cheo chako hiki ndicho unachoweza kuandika, inasikitisha and it also show how not serious you are.Please stay away kwenye hii mitandao ya jamii nafikiri una namna bora ya kutoa maoni yako than what you have just done.Kama mwana CCM inanisikitisha
  11. M

    Membe amshukia KITINE, amfananisha na "Kingwendu"

    akanushe na ghorofa anayojenga kwenye ufukwe wa bahari mjini mtwara, kaua mazalia ya samaki anakuja kuongea mambo ya ajabu hata dhamira haimwumi. Sijui viongozi hawa wakoje
  12. M

    Jimbo la Mtera limeingiliwa, eti huyu ni Diwani kwenye Jimbo hilo!!

    Naomba ufafanuzi wa aliyetuma hii picture kwani namfahamu huyu jamaa anafanya kazi TANESCO-RUFIJI. Sina taarifa za hivi karibuni kama aliacha kazi na kwenda kwenye siasa but as i know him ni mchapa kazi kweli kweli. Hivi vimbwanga huwa anavaa muda wote na utamkuta kwenye mlingoti wa umeme na...
  13. M

    Mkulo katokomea kama Balali?

    as i know he was or is somewhere in Brussel amekimbia debates. Nahisi alishauriwa asiwe Dodoma cos he know what comes. Sijui kama amerudi nyumbani au la but he was in Belgium saa ya ukombozi imefika
  14. M

    Danish PhD student on Nyerere and "Vijiji vya Ujamaa"

    Dear colleagues, i hardly comment in these blogs but with this topic i feel obliged to do so. I feel so pity for this Danish PhD student who tries to claim knowing much not only about Tanzania but Mwalimu with his vision and mission. To be honest, no Tanzanian will claim to be so let alone the...
  15. M

    Kama Ni Mzalendo wa Kweli, Kama Una Roho Nyepesi Usisome

    asiyeelewa ana lake jambo, all is truth and the only truth. I wish atumiwe ****** aisome but kwa yeye gazeti la udaku feel sick
  16. M

    Mzee wa Punch to be back UDSM

    a good move, do it quickly but mind you of the vikaragosi kibao vilivyopandikizwa na watawala. we missed mzee
  17. M

    Nilivyomjua Dr JK Baada ya Hotuba kwa wazee wa Dar

    All i want to know Fauzia na Ritz1 wamepotelea wapi kwa sasa au ndi ule wimbo mshua imenuka.Shame on you hamkujua mnatetea nini
  18. M

    CHADEMA yapata pigo jingine baada ya Slaa kushindwa kushawishi umma wa Arusha kukaa kwa wiki

    Faiza, how much are you paid for this work, sijawahi ona hata siku moja ukichangia chochote chenye mwelekeo ni CHADEMA agains CCM, wewe kati ya virusi humu ndani and we want you out of this system, mnatuharibia. JF imebaki kuwa kituko siku hizi badala ya kujadili mambo ya maana
  19. M

    IMF wathibitisha, Serikali imeishiwa!

    well said Mpoki
Back
Top Bottom