Search results

  1. bokassa

    Mama Terri!

    Hivi jamani, Mama terry, yule mama muelimishaji/Muhamasishaji wa kujikinga dhidi ya madhira ya gonjwa Ukimwi yu wapi????? Nimemkumbuka gafula!!!!!!! Mwenye taarifa tafadhali!!!!!
  2. bokassa

    Moja Kubwa Kuliko Mbili (Kwa wanaojua hesabu tu!!)

    Log(1/2) > Log(1/4) Log(1/2) > Log(1/2)2 Log(1/2) > 2Log(1/2) Divide by Log(1/2) each side Then you get 1 > 2 (How can 1 be greater than 2?) Kila siku siasa siasa, hebu changamsha bongo we mbongo!!
  3. bokassa

    Mbowe, Lipumba, Lyatonga wanaweza???

    Ni hakika kuwa CCM imepoteza mwelekeo. Viongozi na makada wake. Nimekata tamaa kiasi cha kuombea waondolewe madarakani haraka. Sina shaka na vyama shindani vya CCM, japo ni vichanga lakini vimeonyesha ukomavu mkubwa ki-sera. Hata hivyo mara nyingi huwa najiuliza nani baada ya kikwete. Hivi...
Back
Top Bottom