Search results

  1. nkombemaro

    Naomba msaada wenu tafadhali!

    Najua kila binadamu ana akili ya kufikili na kupembua mambo muhimu katika maisha yake,nina maaana kuwa kila mtu anahitaji kuishi maisha mazuri sana na ndo maana kila siku tunafanya kazi ili tule.Lakini huwezi kula kama serikali yako haikujali kwa katika kukurahisishia maisha kwa kukupa au...
  2. nkombemaro

    Ifike mahala tuseme HAPANA!

    wewe ni wa chama gani? maana kulingana na maoni yako hata wewe una chama chako! Inabidi uelewe kuwa waandishi wa habari ni binadamu kama wewe hivo wana maoni tofauti na unavyofikilia! Ila hapo hapo umesahau kuwa kuna magaeti mengi tu ya CCM ambayo yanaandika positive issues tu kuhusu nchi yetu...
  3. nkombemaro

    Yuko wapi mh.rais jk

    Jk rais au? mbona bwana mkubwa yupo? anasikilizia tu atoke na lipi! ahadi nyingine au aaaanze na alizoahidi kwenye kampeni!
  4. nkombemaro

    Makamba atumia Biblia kuwalaani Chadema: HUYU MZEE KACHANGANYIKIWA

    Mbona wanjeshi wamejaa sana kwenye serikali ya Kikwete? kuna sir gani hapo? watu wanastaafu wanarudi serikali huku sisi makabwela tuna elimu zetu kazi hakuna,wanatumia amri zaa kijeshi kutuongoza,nina hasira sana na huyu mzee.Nikikutana nae popote lazima tuzichape aisee nikanyee ndoo segerea!
  5. nkombemaro

    CCM yamgeuka msimamizi wa uchaguzi

    Kumbe huyu mzee amechanganyikiwa,mbona alisema CCM imeshinda kihalali anaelalamika aende mahakamani? CCM Wamisha MCHAKACHUA TAYARI!
  6. nkombemaro

    Mwenye Picha Zenye Sura za Polisi wa Kikwete Wanapoua Watanzania Tunaziomba

    AU UNATAKA NYINGINE? HUYU NI FIRST LADY ANAEISHI NJE YA IKULU NAE AKAPATA MISUKO SUKO!
  7. nkombemaro

    Mbowe aelezea mauaji ya mkenya ITV

    Ulimkuta anamalizia na nini ili tuendelezee hapo!
  8. nkombemaro

    Samwel Sitta, chui ktk kundi la kondoo.

    Wewe humjui sitta ila unaijua ccm tu! mbona kumbe unajua kuna wengine wametulia baada ya kupewa vyeo,je huoni kwamba sitta ndo hayupo kwa vyeo maaana hata kama ni waziri lakini anakosoa serikali,au un ataka awe kama makamba?
  9. nkombemaro

    CCM Houston Ndani ya Radio Mbao!

    Unajua kaka inabdi uelewe kuwa elimu wakati mwingine haimsadii mtu ina inamfanya kuwa na kiburi.Tena hasa walio nje ya nchi ndo akili zao hazisumbuki kabisa hata kuwaza jinsi ndugu zao wanavyohangaika ntymbani.Akili zao zote ni kusaka uraia wa nje kwa kuamini walipo ndo mwisho wa Dunia.Wasomi...
  10. nkombemaro

    Sitta on DOWANS payment: unanswered questions and painful

    :heh:Ni kweli ni chuma cha pua lakini kuendelea kukalia boti lenye matobo kwenye bahari hata yeye atazama tu! Inavyoonekana anajua kila kitu kuhusu dowans,kwanini asituambie basi ili watanzania tuongeze chuki zaidi kwa CCM?:noidea:
  11. nkombemaro

    Polisi wa kikwete waua tena huko shinyanga!

    Mungu tuondolee balaa hili! hivi ni tanzania tu au hata nchi nyingine ni hivo?
  12. nkombemaro

    Polisi wa kikwete waua tena huko shinyanga!

    WANANCHI wilayani Kishapu mkoani Shinyanga wamefanya maandamano hadi ofisi ya mkuu wa wilaya hiyo kulaani kitendo cha askari polisi kumuua raia mmoja kwa kukutumia risasi. Mbali na hilo wananchi hao pia waliandamana kupinga baadhi ya askari kuwabambikiza kesi wananchi. Tukio la kuuawa kwa raia...
  13. nkombemaro

    Waziri Selina Kombani (Katiba na Sheria) na Hatima ya Katiba Mpya

    Kwani ninyi mnamshangaa kombani tu? mbona watendaji wengi wa serikali huwa wanatikisa viberiti? visipotikisika inakula kwetu?
  14. nkombemaro

    Police kauwawa vurugu za Arusha

    Kama ni kweli Mungu ailaze roho yake mahali peponi maana hakujua alitendalo!:A S 465:
  15. nkombemaro

    Imani yetu kwa serikali ya Kikwete

    no coment kaka,ila lisemwalo lipo!
  16. nkombemaro

    Imani yetu kwa serikali ya Kikwete

    si ungetoa lako la kikubwa nikakuelewa wa maana!
  17. nkombemaro

    Imani yetu kwa serikali ya Kikwete

    Watanzania wengi walikuwa na imani na Rais Kikwete alipoingia madarakani 2005,wazliamini yeye ndo atakuwa rais bora kuliko walitangulia baada ya nyerere.Lakini imekuwa tofauti na matarajio ya wengi ndo maana wakamtosa kumpa kura 2010 lakini akachakachua! Ila wengi wanaamini Kikwete ni rais mzuri...
  18. nkombemaro

    Sambaratisheni Mawazo Ya Watanzania Kwanza Kabla ya Kuisambaratisha Chadema

    Wote mko sahihi! Usikatae wazo la mwenzio nalo neno!
  19. nkombemaro

    Dr. Slaa apewe PhD ya heshima

    Hilo nalo kaka! Unajua katika hali ya kawaida ni vigumu sana kwa mtu kugundua umuhimu wa Dr Slaa katika nchi yetu. Ni mtu muhimu na atakumbukwa sana na watanzania wenye kuipenda nchi yao! Tatizo letu tuna mawazo pandikizi ambayo huwa hatuyafanyii umbembuvi yakinifu. Suala la DR Slaa kusingiziwa...
Back
Top Bottom