Search results

  1. C

    TAMKO LA UVCCM na Mwelekeo wa Kisiasa Nchini

    Labda kama MUNGU hayupo but as long as GOD is alive their days are numbered mafisadi wote kama hawatatubu na kuacha huo uovu wao Mungu atawaondoa the bible says "Evil doers shall be cut off from the face of the earth".Kanisa sasa limeamka na tunamlilia Mungu usiku na mchana aiponye nchi yetu.
  2. C

    TBC 1 Matuko Yaliyotokea Arusha Mlichotuonyesha Kwenye TV Niuongo Mtupu!

    Infact mimi huwaga sipotezi muda kuwaangalia TBC especially habari zao.Sidhani kama kuna mtu yoyote huwa anapoteza muda kuangalia habari TBC.
  3. C

    Elections 2010 Wengi hawajui Nguvu ya Maaskofu

    Biblia inasema kila neno mwanadamu anenalo atatoa hesabu yake siku ya kufa kwake.Yeye alitaka watu kanisa likae kimya tu kama waumini wao wameuawa na polisi?. Vilevile huwezi kutenganisha mambo ya kiroho na kimwili ndio maan watu wanapoapa huwa wanatumia vitabu vya dini.Mimi nafikiri huyu...
  4. C

    Police kauwawa vurugu za Arusha

    Poor thing so sorry kwa familia ya huyo polisi kama halikuwa hajamjua Bwana Yesu Kristo kuwa mokozi wake atakuwa yupo depth of hell pamoja na shetani.
  5. C

    Barua ya wazi kwa RPC Arusha

    Unajua maana ya dhambi wewe u really have lost it.Mbona usizungumzie mamlaka iliyojiweka yenyewe kwa kuiba kura.!!!!.Hii ndiyo dhambi namba moja.Pili wewe ndio ulionguka kwasababu unatetea mauaji wewe ndio shetani narudia tena u the devil!!!!!!!!!.Ingekuwa mamlaka halali tungeheshimu lakini dont...
  6. C

    Barua ya wazi kwa RPC Arusha

    .Shetani kabisa
  7. C

    Barua ya wazi kwa RPC Arusha

    Hivi huyu jamaa ana akili kweli aliyoandika hii article.Siasa zipi za kishenzi kuandamana ni haki ya kikatiba ya kila raia.I dont see anything wrong with that.The only thing the police should do is ensuring that people and their property are safe.Regardless of their party membership.Honestly...
  8. C

    Habari katika picha: Kilichojiri Arusha Jan 5, 2011

    I wish baba yako au mama yako au mkeo au watoto wako wangekufa tuone kama ungesema hivyo.Vifo vya watu unasema utumbo? Wewe ni binadamu au shetani???. Wewe lazima utakuwa shetani. Hata shetani mwenyewe anakushangaa kwa hii kauli.You are the devil himself.Kumbuka what goes around comes around...
  9. C

    Ni bora CHADEMA ifutwe

    Shame less mapenzi ya nchi yako au chama chako!!!!!!.Aliyefanya vurugu ni nani polisi au chadema.You're really naive!!!!!!! and on top of that fool
  10. C

    Hii bank imenitisha!!!wapendwa

    Yaani huna hata aibu mpendwa.Wewe si ulifukuzwa kwasababu ya kuomba wateja rushwa!!!!.Yaani watu wengine bwana huyu jamaa aliandika hii article ninamfahamu sana kwanza alikuwa na tabia ya kuomba wateja rushwa ili atoe mikopo this are kind of people muwaelewe watanzania tumekosa maadili...
  11. C

    Hii bank imenitisha!!!wapendwa

    I dont see anything wrong with that.Besides you never this might be temporary jobs and they might not be demanding a graduate education level.Hebu tuwe was kweli hata kama you're being paid 50,00 tsh per month come one i dont think there is anyone hata kama ni baba yako will be capable of giving...
  12. C

    Chadema wakae kimya tu

    I completely agree with you the guy doesnt seem to know what he is talking about.Wakae kimya ili nini?Kwani midomo wamepewa ya nini?.Huyu bwana must really be insane na pia a really idiot kwa kweli.He doesnt seem to know anything about politics.
  13. C

    CHADEMA walikuwa CCM-B kabla ya CUF.

    Complete rubbish, Stupid and nonsense.Hivi huna kazi ya kufanya wewe mpumbavu unapoteza muda wako kuandika utumbo namna hii.Eti kapora mke wa mtu kwani unajua maana ya kupora wewe.Kupora ni kuchukuwa kitu pasipo ridhaa ya huyo mhusika.Kwani huyo aliporwa alilazimishwa kwenda kw slaa.Wewe ni...
  14. C

    Elections 2010 Pinda na Dr. Slaa wanapogonga kwa furaha

    lnawezekana wanausalama wamtishia you never know.Labda wamempiga bit na wemetoa serious threat.Kuna rumours kwamba usalama wa taifa wana monitor nyendo zake na every move he makes.Anyway if that's the case then hao the so called wanausalama hawaewezi wakamtisha Mungu because He God will send...
  15. C

    Elections 2010 Maandamano- uchaguzi tanzania jumamosi nov 6washington dc 2010, 10:am (white house)

    Mbona president wenu alikwenda kunywa chai na obama?
  16. C

    Elections 2010 Makame anataka kujiuzulu kwa aibu!

    Kwa dhambi alizofanya lazima afe kabla ya 2015.Mshahara was dhambi ni mauti.Aende huko depth of hell aungue milele he doesnt deserve to live.Washindanao na Bwana watapondwa kabisa, evil doers shall be cut off from the face of the earth asema bwana wa majeshi.Badala atubu na kumpokea Bwana...
  17. C

    Elections 2010 JK atangaza USHINDI

    Kama siyo mapenzi ya watanzania wengi hatadumu.It's only a matter of time let's leave everything to GOD.Tumefunga,tumeomba tunamwachia Mungu.Kama Mungu hakutaki yeye ana uwezo mkubwa na njia nyingi sana ikiwemo kifo.
  18. C

    Elections 2010 Angalizo kali kwa Watanzania wote mara baada ya jk kutangazwa rais.

    Mungu hadhihakiwi chochote apandacho mtu ndicho atakachovuna. We have been fasting and praying for the election and crying to GOD to give us proper and right leaders.If they have rigged the election and if he wasnt God choice then he will not finish his reign in the next five years.Do you...
  19. C

    Elections 2010 Kumbe saa ya ukombozi iliwekwa betri za kichina!!!!

    Saa ya ukombozi!!!!!!. Kwani kuna mtu alitegemea SLAA atashinda? Kwa tume ya Makame? Alichofanya slaa ni kuwafungua macho watanzania waliokuwa wamelala na kuuanika uovu wa serikali ya dakta . But he wasnt expecting to become the president .Hivi ni daktari wa mifugo au nini?
  20. C

    Elections 2010 Wito: Uchaguzi tz bara urudiwe ndani ya siku 90 chini ya usimamizi wa un

    Mungu anajibu maombi na hata siku moja haki ya mtu haiwezi kupotea.Kama amelazimisha kuingia ikulu basi hataweza kutawala miaka mitano.Hawezi kushindana na Mungu hata siku moja.If God says no, then no one can Yes.Just wait and see
Back
Top Bottom