Search results

  1. A

    kibonde anaongea kitu asichokifahamu

    Jamani kibonde ndo anatafuta chakula ya watoto,hata ukimpa laki moja,unamshika **** anakubali,wanaume wa namna hii wapo,kujipendekeza kwao ndo maisha.
  2. A

    Lowassa, sema neno watanzania wakusikie

    Mimi ni Edward Ngoyai Lowassa,unakaa wapy nilete posa kwenu,unanilamba miguu sana,sasa nataka nikuoe kabisa.mwaaah
  3. A

    Nape na wenzake Kupigwa 'stop'

    ccm kweli wanafundishana uoga na unafiki,kwahiyo wanataka BELESHI ibadilishwe jina na kuwa LIKIJIKO LIKUBWA??Mtu kama ni mwizi ni mwizi!.thats it,Mapacha watatu ni MAJAMBAZI,and thats final,mtakaa kubembelezana mpaka lini.
  4. A

    Lowassa's confession on graft

    <br /> <br /> Labda awe rais wa familia yako we *****!.Umeandika kwa comfidence kama vile ni kura yako tuu ndo inayomchagua rais wa JMT,Hatutaki mwizi sisi,kuna watz wengi sana far better than Lowassa,usituletee mawazo mgando hapa.Kama kweli anayo nia nzuri na nchi ye2,why is he forcing by...
  5. A

    Hillary Clinton aiumbua Tanzania

    Kwa mibwege kama wewe kutakuwa na maendeleo kweli,swala la maendeleo ya nchi yetu sio la chadema na Dr slaa,ni la kwetu wote regardlss of itikadi za chama chako,kwa bahati mbaya au nzuri chama kilicho madarakani ni CCM,so ni lazima tukikosoe ili kiweze kuleta maendeleo kwa manufaa yetu sote,sio...
  6. A

    Lowassa ni kama Jacob Zuma?

    Hapa unazungumzia watu wawili tofauti!.MWIZI ambaye ni lowassa na Mpenda vimada ambaye ni zuma in which lowasso can also be there ila mambo yake ya uhuni hayasikika.Lowassa angekuwa a good P aspirant ila ilo doa la TAMAA YA KUJILIMBIKIZIA MALI ZA WANANCHI KWA WIZI KAMA FISI MWENYE NJAA ALIYEONA...
  7. A

    Lowassa: Wakimwaga mboga namwaga ugali

    Wote wanaomsafisha jambazi lowassa JF wako kwenye pay roll.Hii trend imenishangaza kweli
  8. A

    Uozo: Shida zote nchini gazeti laandika na kutoa kipaumbele habari za Ujauzito wa Mchumba wa Slaa!!

    duh!.hata mim nimeliona mpwa,nikajiuliza ni ngozi nyeusi zenye matatizo au UTZ,coz kweli unatuandikia mambo ya mimba ya mchumba wa silaa kweli,umasikini utaisha kweli?
  9. A

    Lowassa: Wakimwaga mboga namwaga ugali

    Sawa lowassa,nakubali wew mbishi,una kiburi!.Ila wew ni MWIZI PIA.
  10. A

    Hussein Bashe aongea na vyombo vya habari

    Wew bashe ni mmoja wa wanunuliwa!.Hauna lolote!.usitufanye sisi machizi,Lowasa na Rostam ndo wanakutuma tuma wewe.
  11. A

    Kwanini Lowassa anatolewa Sadaka?

    Wizi wake umemponza!.
  12. A

    Lowassa, Rostam na Chenge waja na Operesheni okoa “mapacha watatu”

    Eee Mungu nakuomba uepushe nchi yetu na hao majangili watatu na network yao yote.
  13. A

    Rostam, Lowassa wakatwa miguu

    Pole kaka!.inaonekana ulikuwa na ukaribu sana na hao mafisadi papa
  14. A

    Umafia CCM ya JK; Lowassa, Rostam na Chenge njia panda

    hiyo habari hapo inaonyesha jinsi gani the top three fisadiz EL,RA,AC wanavyotafuta draw ili mambo yaishie juu juu!.
  15. A

    Zitto, Lipumba na mkakati wa kuidhoofisha CHADEMA

    Zitto you were my role model!.Kwanini ukubali kubadilishwa na mafisadi??
  16. A

    January Makamba ndiye Barak Obama wa TZ

    waliosoma nae forest hill wanasema alikuwa kilaza wa kwanza!.yey ni wanawake tuu,hana lolote huyo parpet wa mafisadi.
  17. A

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    tatizo la huyu mzee ni mwizi jamani!.namkubali sana ila ananipa wasiwasi sana,hapa arusha kila kitu ni chake yeye,mashamba makubwa na mazuri yake,majengo makubwa yake,na sasa ivi anajenga twin tower pembeni ya office za leopard kijenge,gorofa kumi,na source yangu anayefanya kazi hapo anasema...
  18. A

    Fisadi wa Rada, Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

    wana Jf ninaumia moyo kuona habari kama hizi,naumia to the point where i have got no words to express myself,najuta kuwa mtanzania,najuta,au wamemloga rais wetu awe kilaza ivo ndugu zangu,wale wakali wa mambo hayo mfungueni macho rais wetu,inasikitisha sana.
  19. A

    JK anafanya kazi ya waziri wa mambo ya Nje?

    bad newz!.hakuna wa kumshauri rais wetu,mkubwa hapendi kufikiria mambo ya msingi kabisa.
Back
Top Bottom