Search results

  1. E

    Wasabato msituchangishe kama hamtaki bia

    Uache ujinga, kwani ulichangia wasabato au marafiki zako???? Kama ulichangia wasabato mchango wako ulitoa kwa mchungaji, mzee wa kanisa au shemasi???? Usihusishe imani ya watu na ulafi wako. Pia kama unaona mahusiano na watu wenye kiasi huhitaji, fungamana na walafi wenzako. Sent from my...
  2. E

    Kilimanjaro yafanya vizuri kielimu,Kigoma Singida wafanya vibaya

    Watani zangu Muache sifa za kijinga! Mnataka kusema ikitajwa kilimanjaro ni uchagani tu! Mwanga na same hawajafanya kitu...Au dini iliyotapakaa kilimanjaro ni ukatoliki tu...hayo ni huko kwenu Kishumundu! Tungepata takwimu za mkoa huo ili tukate mzizi wa fitina...kwanza wachaga mmewekeza kwenye...
  3. E

    Dk. Reginald Mengi: Waziri Muhongo ni muongo, takwimu zake za uongo pia!

    Wewe unafanya kazi kwa Mengi????Wewe ni afisa mapato wa maeneo ambayo Mengi anafanya biashara??? Nini maana ya mshahara mkubwa??? Je ni kama wa Waziri mkuu??? Nadhali tatizo lako ni kusoma historia sana ukasahau kua akili za kupewa changanya na zako. Mengi ni mfanyabiashara mzawa na wa asili...
  4. E

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

    Baba inaonekana yuko juu ya sheria maana hata kesi hakuijali alienda kupanda miti na kupiga risasi...wananchi wakaamua kutumia njia hiyo hiyo aliyochagua yeye...inasikitisha sana
  5. E

    Je "Dr" Mbwambo wa Mzumbe University Dar Business School ame-graduate PhD yake?

    Nipo baba, sikumbuki ila kwavile una email yangu twaweza wasiliana
  6. E

    Je "Dr" Mbwambo wa Mzumbe University Dar Business School ame-graduate PhD yake?

    Acha ujinga wako, Mbwambo alikua Dr mwaka 2005. Uhasama wako na watu usiiulete huko wenye vyombo vya jamii...kasome...
  7. E

    Je "Dr" Mbwambo wa Mzumbe University Dar Business School ame-graduate PhD yake?

    Wewe ni mkereketwa wa majungu hata procedure za kupata PhD huzijui. Prof. Mbwambo aligraduate PhD mwaka 2005. Na mimi ninaitumia report yake sana kwa ajili ya PhD yangu. Alafu wewe unaehoji mtu mwenye Advanced Diploma kusoma Masters tumia akili kwa kua Mzumbe si chuo pekee kinachofanya hivyo...
Back
Top Bottom