Search results

  1. B

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya 13 wapya, ahamisha wengine 7

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wakuu wa wilaya wapya 13 na kuwahamisha vituo vya kazi wengine saba. Wakuu wa wilaya 13 walioteuliwa ni; Shaaban Athuman Ntanambe ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Chato, Mkoa wa...
  2. B

    M/kiti CCM Kilakala ndg. Hoza na Katibu CCM mkoa Morogoro ndg. Kimeta wamepata ajali

    Heri Hoza kapata ajali akitika Kilosa kwenda Dar. Habari hizi zimezibitishwa na ndugu yake wa karibu. Inasemekana yupo Tumbi.
  3. B

    Polisi wamkamata kijana aliyekuwa anakusanya maoni Kariakoo

    Hatimae kamanda Shokia center aliyekuwa anapigasha kura za maoni hapa stand ndogo amekamatwa na polisi muda huu kwa kosa la kupigisha kura za maoni kinyume na sheria za nchi kapelekwa rumande na vijana wake wote.
  4. B

    TFF na Wanazitumia Simba na Yanga

    Angalieni hili gazeti la champion
  5. B

    Dhana na malengo ya ccm kununua watu

    Ndugu wana jamvi naomba leo niweke wazi juu ya haha yanayoendelea kuhusiana na movie na scenes za watu kuibuka na kutoa matamko juu ya Ukawa na Lowassa Kuna kitu tume ya kampen na propagana ya ccm inapanga kwaajili ya kudhoofisha upinza na tume hiyo imepewa kazi moja kama sio mbili Ni...
  6. B

    Magufuli na kuvunja ahadi ya kutumia barabara

    Chopa hiyo iko wapi ahadi ta kutumia gari nchi nzima Ndipo lowassa anapowashinda kufanya kampeni kisayansi
  7. B

    Mkutano wa Sumaye Wazuiwa na Polisi

    Katika hali isiyo ya kawaida mkutano wa Sumaye umezuiwa Babati Manyara na polisi kwa madai kuwa hana kibali cha kuhutubia. Kwa maelekezo inasemekana polisi wamesema ni amri toka juu. Kazi ipo.
  8. B

    Magufuli, naomba ushahidi wa barabara zilizojengwa na CCM

    Wadau tumekuwa tukifanganywa majukwaan kuwa serikali ya CCM. Imejenga bara bara uwongo mtupu tumeweka nchi rehani kwa mikopo yenye masharti magumu na isiyo tekelezekaa kwa watu wa magaharibi wamejenga barabara kwa kutudhulumu yetu leo Magufuli anadanganya watu barabara zimejengwa kwa fedha za...
  9. B

    Naanza kuamini urafiki wa Jk na El haujafa

    Nimeanza kuingia wasiwasi urafiki wa hawa boys 2 men haujafa na nina hakika kikwete amehamua kumpa madaraka Lowassa nje ya Ccm. Kwa.scenarios jinsi zilivyo na namna jk anavykiendesha chama Nimeanza kusikia tetesi nasikia sasa hivi wazee na wakongwe wa chama hawamshilikishi tena.jk kwenye...
  10. B

    Mgombea ubunge Nanyamba kupitia CUF ashindwa kurudisha fomu, CCM wapita bila kupingwa

    Mgombea ubunge jimbo la Nanyumbu Mtwara kupitia CUF ametokomea kusikojulikana na kushindwa kurejesha fomu, hivyo CCM wamepita bila kupingwa kwenye jimbo hilo.
  11. B

    Magufuli na data za uongo

    Alichonishangaza Magufuli na nimeanza kuamini hata data alizokuwa anatupa ni za uwongo. Anasema kwa mara ya kwanza Tanzania na duniani itaweka historia ya kuwa na makamu wa rais wa kwanza mwanamke. "Ni uongo uliokithiri" Correction Mwaka 1994 mpaka 2003 Uganda walikuwa na makamu wa Rais Madam...
  12. B

    Kilichomponza Rais Kikwete Dodoma

    Wana jamvi leo nawaletea kwenu uchambuzi wangu juu ya maamuzi ya jk na kamati katika uteuzi wa wagombe urais Dodoma. Kilichofanyika pale ni kuwa kikwete kushindwa kusoma alama za nyakati.kwa kuangalia watu wanaomzunguka walikuwa wamevaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni chui. Wote tujiulizee Ni...
  13. B

    Masaburi na wenzie wanapojimegea CCM

    Katika hali isiyo ya kawaida familiaa ya masabuli. Yeye na watoto wake wanataka kujaa bungeni kinachofanyika nikuhamisha familiaa toka uraiani mpaka mjengoni. Sijajua nini wanafikilia kwa kufanya haya.
  14. B

    Hotuba ya Kikwete Vs Watangaza nia Mawaziri

    Wadau naona the difference are far apart between these team. Mawaziri wakati wanatangaza nia wamezungumza tofauti na Rais wao anaongea tofautii. Mimi nakumbuka ya Mwigulu Nchemba aliposema kiwa Rushwa ni tatizo na anapango wa kuikomesha wakati mkuu wa Kaya anasema amefanikiwa kwani case...
  15. B

    Kikao cha Usalama na Maadili cha CCM, kukutana leo saa nane mchana

    Leo Kamati ya Maadili inakaa. 1. Kikwete 2. Mwinyi 3. Mkapa 4. Kinana 5. Mangula 6. Nape 7. Katibu wa Vijana Taifa 8. Mwenyekiti wa Vijana Taifa 9. Mwenyekiti wa Wazazi Taifa 10. Katibu wa Wazazi Taifa 11. Dr Shein 12. Mwenyekiti wa Wanawake Taifa 13. Katibu wa Wazazi Taifa 14...
  16. B

    Makamu wa Rais Mohamed Gharibu Bilal ajitoa kwenye mbio za Urais

    Wadau, Duru za wadau kutoka ndani kuna tetesi zinasema Makamu wa Rais Mohamed Gharib Bilal amejitoa kwenye mbio za urais na kunasemekana Makamu wa Rais alijitoa kitambo pale aliporudisha fomu bila mdhamini hata mmoja. Kama mnakumbuka alikuwa ni mmoja kati ya watu wa mwishoni kuchukua fomu na...
  17. B

    Malecela na kamati ya wazee

    wadau inakuaje malecela anaingia kwenye kikao cha wazee wakati tayar kuna Conflict of interest kwan binti yake yupo kwenye mchuano naomben mnisaidie kwa hili
Back
Top Bottom