Search results

  1. Neyonzima

    Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu

    Sasa kumekuchaaa , wazee wa upigaji wamerudi apa januari pale nape kule ridhi sipati picha wale watoto wa mujini watakavyo upiga mwingi bongo tambarareee , tukutane 2025
  2. Neyonzima

    Msaada: Mtoto mchanga wa mwezi mmoja hajawahi kulia

    Kaka u hali gani? Mtoto hali ikoje? Hili jambo lilinigusa
  3. Neyonzima

    Uhujumu NSSF

    Pole mtoa post inaonekana nawe ni wale wale ambao mirija ya ulaji imefungiwa sasa muna mu attack Erio. Mulizoea dezo dezo tu kufanya Shirika kama shamba la bibi munakula pesa za wanachama bila huruma shirika linatafunwa kila upande na wafanyakazi wasio waaminifu sasa Erio amekuja ameziba mirija...
  4. Neyonzima

    Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye kukutana na Waandishi wa Habari Desemba 04, 2019

    Hii habari nimeona Michuzi nae kaipost basi tena sasa naamini Mzee Sumaye anaenda kuunga mguu Juhudi maana Michuzi ni moja ya spika za chama
  5. Neyonzima

    Haya mkuje mkuje tumtakie heri King

    Kweli samaki papa ana nguvu sana Mkuu kila mtu yupo busy kutafuta connection
  6. Neyonzima

    Haya mkuje mkuje tumtakie heri King

    Basi leo tunakumbuka kuzaliwa kwa King Ali Kiba naomba wote wenye mapenzi mema tumtakie neno la Heri Mfalme ukisindikiza na mstari wa wimbo unaoupenda mi naanza kama hivi... Yule aliyepanda kwenye lile shamba langu hakuona uchungu kuizunguka nyumba yangu ukatanda ukungu kwa penzi la madhulumu...
  7. Neyonzima

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

    Rest in peace kaka , hivi najiuliza mtu anatumia fake ID halafu siku akifa members wengine wanajuaje? Samahani lakini
  8. Neyonzima

    Msaada: Mtoto mchanga wa mwezi mmoja hajawahi kulia

    Mkuu vipi dogo natumaini atakua amekua, je mliweza kuwaona madaktari na kupata suluhisho lolote? Nitashukuru kwa feedback
  9. Neyonzima

    Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

    Ndio huyu mkuu sema doh wakati tunaandika uzi huu hayo mengine yalikua bado hayajapata kutokea tumsitiri kama mzazi mwenzie alivyosema
  10. Neyonzima

    Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

    Mkuu hivi bado hujamuona chura hadi muda huu ?
  11. Neyonzima

    Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

    Hahahaaa hivi kumbe ile mitaro inataka mashine za maana kwa hiyo ina maana le kiba 100 hamuwezi sanchoka??
  12. Neyonzima

    Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

    Kahaba grade A wapo mkuu tunajua hadi bei nakuhakikishia wapo kuanzia usd 3000 up to usd 15000 wapo mkuu uliza utaambiwa na majina yao kabisa au hii topic ianzishiwe thread yake specific hao wa elfu 50 hadi laki 5 au mil 1 pia wapo ni wewe tu chaguo lako na pesa yako. Mfano Miss Tanzania 2001...
  13. Neyonzima

    Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

    Mkuu kama wewe hua unatumwa sio wote hua wanatumwa wakati mwingine ni kuchangamsha genge jiongeze kidogo
  14. Neyonzima

    Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

    Mkuu experience na hawa kahaba wa grade A inakuaga hivi kwanza wanataka Emirates return ticket business class then wanachagua hotel kabisa 5 star hotel in Dubai halafu anakupa na price yake lets say for 3 days stay utanipa USD 15,000 that does not include tickets or hotel rates and then they...
  15. Neyonzima

    Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

    Aisee Tanzania imepatwa na Raisi aisee sasa na yule mama alieoneshwa TBC na watoto wote wana ulemavu wa Zika kabisa tena ilioneshwa kwenye taarifa ya Habari halafu wanadhani watanzania wote ni wajinga, Shame
  16. Neyonzima

    Makonda awasilisha Muswada wa marekebisho ya sheria ya mirathi

    kinacholengwa hapo ni kumsaidia mjane wa Mzee Machache ili aweze kurithi mali zote za Mzee hata zile ambazo Mzee alichuma na Mama Mercy, jamaa anaanza Movie mapema, ila Mungu huwa hachezewi na Haki siku zote huchelewa tu na sio kupotea. inawezekana amehaidiwa asilimia fulani akilifanikisha hili.
  17. Neyonzima

    Zari new looks

    zari alitaka amfunike Tanasha maana same day kaachia baby shower nae same day kaachia picha za kupendeza kiukweli Zari umri umeenda kwa Diamond amuachie Tanasha ndio umri wake
  18. Neyonzima

    Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

    Anatumia meninatz nenda kamcheki halafu ulete mrejesho hapa maana kuna watu wabishi asee
  19. Neyonzima

    Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

    Aliuaje kipaji cha Manyika mkuu? Fafanua kidogo
  20. Neyonzima

    Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

    Sanchi kweli ana tako la kufa mtu lakini uzuri hana kuna tofauti kati ya mwanamke mwenye tako na mwanamke mzuri mkuu hebu tafakari kidogo.
Back
Top Bottom