Search results

  1. F

    Zainab Bottlers Zanzibar, nani anaifahamu?

    Samahani kwa mtu anayeijuwa kampuni ya kutengeza maji inaitwa zainab bottlers ltd, Ipo zanzibar sehemu inaitwa mombasa area.Ipo pemba au unguja???
  2. F

    Ajira kiwanda cha viatilifu kibaha

    Samahani wakuu, kuna kiwanda kipya cha viatilifu kipo kibaha.nilisikia kinahitaji watu zaidi ya 150 kwa ajili ya ajira.tulipeleka cv zetu muda mrefu tangu mwanzoni mwa mwaka huu,sasa sijui walishaita interview???na hiki kiwanda kimeshaanza kazi??
  3. F

    Tbs tbs tbs tbs tbs

    Hivi TBS mtatoa majina ya usaili 2020????????
  4. F

    TBS vipi mbona hivyo?

    Jamani siku zinazidi kwenda na TBS wamekaa kimyaa, Hivi hakuna mwenye tetesi yoyote?? au lile tangazo la kazi ilikuwa sikukuu ya wajinga??
  5. F

    Usaili Utumishi tangazo la 22 August 2015

    Ukiangalia majina ya usaili ya utumishi yaliyotoka tar 22 mwezi huu na tangazo la ajira la mwezi JUne utagundua kuna Kada zingine hazipo na watu wengi tumeshtushwa na kutoona kada fulani tulizoziomba.Jana nimepiga simu Utumishi kwa namba hii 0784398259.NIMEJIBIWA KUWA KUNA KADA AMBAZO BADO...
  6. F

    Updates usaili TBS!

    Samahanini wakuu kuna watu wanasema TBS hawatoi majina ya usaili mpaka uchaguzi mkuu upite...Hivi kuna ukweli kuhusu hili?? Na kama kuna ukweli naomba tusipige kura
  7. F

    Kuitwa interview tcc nafasi mechanical engineer

    Samahani waheshimiwa tcc tanzania cigarate co walitoa nafasi ya mechanical engineer mwezi april na deadline ilikuwa tar 30 april ,interview walishaita au bado mpaka sasa?​
  8. F

    Kuitwa interview TCC nafasi ya Mechanical Engineer

    samahani waheshimiwa tcc ( tanzania cigarrete co ltd) walitoa nafasi ya mechanical engineer na deadline ilikuwa tar 30 april 2015 , hivi walishaita interview au bado????
  9. F

    Updates za TCC, nafasi za Mechanical Engineer

    Samahanini sasa waheshimiwa niliapply Tanzania Cigarate Company position ya Mechanical Engineer, deadline ilikuwa tar 30 april. Mpaka leo kimya, walishaita watu interview au bado?
Back
Top Bottom