Search results

  1. startergear

    Jamani nahitaji msaada wa haraka ng'ombe wangu anaangamia!!

    Wadau wa jukwaa hili nina imani kubwa sana nitasaidiwa na wataalam wa mambo ya mifugo hapa. Ni hivi nina ng'ombe wangu hapa ambaye alipandwa mwezi februali mwaka huu, tatizo ni kwamba tangu apate mimba amekuwa akisumbua kila uchwao, mfano huwa anagoma kunywa maji mara nyingine unywaji wake ni...
  2. startergear

    The System Thread Exception Not Handled

    kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza ni wiki ya pili sasa pc yangu inaji restart na kuandika maneno hayo hapo juu. Kwa mwenye uelewa tatizo hili nitalimalizaje? na sababu yake ni nini? Natanguliza shukrani!!
Back
Top Bottom