Search results

  1. Basho

    Rais asema fedha si tatizo kuhamia Dodoma

    Miji mikuu mingi ipo pembezoni mwa bahari...!! Aseme ajenda ya dodoma imebebwa na nini??
  2. Basho

    Rais Magufuli ni quality na siyo quantity, ushahidi

    Mtoa post ajielewi alaf inaonekana ni kibirti Ngoma.......
  3. Basho

    Benki zaanza kuwakamua Watanzania kwa kuongeza kodi (VAT) ya 18%

    Rais wa wanyonge anajua kuwa wanyonge hawanaga account za benki na wala benki hawazitumii ndo maana yake.......!!!!
  4. Basho

    Rais Magufuli: Tutagawa bure Sukari itakayokuwa imefichwa

    Naomba mtufahamishe hivi kwa sheria za nchi mfanyabiashara haruhusiwi kustore mzigo wake kwa muda anaoutaka??
  5. Basho

    Magufuli Vs Kikwete - Magufuli na Tahadhari

    Leo tunaishi katika zama ambazo watuwanaelea kama vipande vya miti katikamaji ya mafuriko bila kujua. La kusikitisha zaidi, mto unaoweza kuzipa uhaiardhi unazozipitia unatiririka kwenyemfereji wa maji machafu kwa sababu hayajaelekezwa kwenye uelekeo sahihi. Mkuu nmekusoma ila ndo...
  6. Basho

    Magnum Hotel ya Henry Matata, aliyekuwa Meya wa Mwanza, kubomolewa!

    Aachie open space watu wajipumzkie na michezo ifanyike.....!!!!!
  7. Basho

    Hukumu ya bomoabomoa kutolewa saa nane

    Tangu uchaguzi uishe hakuna lolote lililofanyika zaidi ya fukuzafukuza,ziara za kushtukiza,matamko na bomoabomoa!
  8. Basho

    Mtangazaji aliyesema Iringa kuna mashoga alifanya utafiti?

    Mtoa mada kafeint kuliwa tigo noma......
  9. Basho

    Saed Kubenea: Ndumilakuwili mbobezi

    Yule n sawa na demu aliekosa bwana..... Anatangatanga tu kwa sasa taarabu zake
  10. Basho

    Kubenea muombe radhi Makonda

    Kubenea kwa sasa ni kama mke aliekosa bwana anatangatanga mumewe Dr.........alishamtelekeza..... Uandishi wake ni wa kitaarabu....
  11. Basho

    Lijue serikali/baraza la mawaziri

    Acha uboya kwa yeye kagaiwa katoa jasho pia
  12. Basho

    Kwanini ubora wa elimu unashuka kila siku?

    Mtoa post haijakamilika
  13. Basho

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo halmashauri ya Moshi vijijini mie nije Nyamagana au Ilemela,Mwanza (Secondary) 0788 386 428
  14. Basho

    Hili gazeti la Jamhuri linamilikiwa na nani?

    Ekotite....,
  15. Basho

    Magufuli badili salamu

    Mtoa post n boya kweli...
  16. Basho

    Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    Neno la leo: Walibadili gia angani sasa wanashangaa ndege haitui. Lazima ianguke, tuombe wote wanusurike. Mabadiliko feki hayatopiganiwa. Wameshindwa kwa kura sasa wanataka kwa kulia? Wametumia njia moja ya mkato kuingia Ikulu sasa wanataka kutumia nyingine. Wajipange vizuri chini ya Lowassa ili...
  17. Basho

    Picha tu: Lowassa Mwanza

    We boya kweli hapo mwanza acha kupotosha... Victoire
  18. Basho

    TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Mtu akiambiwa mgonjwa hafai kushika madaraka haina maana atakufa Bali hoja ni kwamba akiwa kiongozi mwenye maradhi atashindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo! Mtikila hakusema Lowassa atakufa, Bali alisema si busara kumpa dhamana ya watu m58 kiongozi mgonjwa! Si haramu kumzuia MTU kufanya...
Back
Top Bottom