ZAIDI ya wanafunzi 50,000 watashindwa kuendelea na masomo ya elimu ya juu kutokana na kushindwa kupata mikopo kutoka katika Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB). Anaandika Charles William … (endelea).
Hayo yamebainika ikiwa ni siku tatu tangu HESLB kutoa majina ya wanafunzi...
hivi mwaka huu hamna wanafunz watakaoenda vyuo vya ualim wa primary na awali km ilivyokuwa miaka ya nyuma maana siku zinasogea sijaskia tetesi zozote kuhusu walochaguliwa ualim wa primary na awalo
ni bodi gani inaanza kutoa majibu kati ya tcu na bodi ya mikopo m maana naona HELSB wapo kimya wakat ndo tulianza kuomba kabla hatujaomba vyuo na tayar saiv baadh ya vyuo vishatoa majib
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.