Search results

  1. Mwl Solomon

    Pengo amtolea uvivu Kikwete

    Kama unamwalika mtu kwenye sherehe ambaye unajua kwamba anawezakusema lolote pasipo kuliweka wazi au kufikiria athari yake, kisha unaanza kulalama tumwone mjinga ni yupi???? Nadhani wakati umefika wa viongozi wa dini kumpatia Mungu heshima kuliko kuhitaji sana uwepo wa viongozi wa kiserikali...
  2. Mwl Solomon

    EXCLUSIVE: Ushirikiano wa Makampuni ya Mafuta na CCM

    Jamani signed agreement iko wapi?
  3. Mwl Solomon

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    Hapo nilipo quote ndipo ninamlika, isije mwandaaji wa mabango naye ananunua watu na kutaka kutuingiza mkenge. Fafanueni interests zake!
  4. Mwl Solomon

    Nape waombe radhi serikali ya mapinduzi Zanzibar, adai Seif alikubali muafaka sababu ya njaa zake!

    Kwa hali hii, Nape asome Zaburi 141:2-3 Isemayo BWANA Mungu ninakuomba uweke mlinzi kinywani mwangu, mngojezi katika midomo yangu.
  5. Mwl Solomon

    Jairo ajiuzulu wadhifa wake

    Ooooh jamani, naiombolezea nchi na taifa langu kwa unyang'anyi unaofanyika kwake!
  6. Mwl Solomon

    Naihurumia CHADEMA kwa malumbano.....

    Hapo nilipoweka red sijapaelewa. Je! Unamaanisha mwili wa CDM kuvunjika na kutupwa baharini au unamaanisha mwili wa kiongozi aliye hovyo kuvunjwa na masalia yake wakang'aniana vyama vingine?
  7. Mwl Solomon

    Naihurumia CHADEMA kwa malumbano.....

    Kama hawezi kuiacha tabia yake ndipo tutajua na hapo, anafukuziwa mbali kama nzi.
  8. Mwl Solomon

    Naihurumia CHADEMA kwa malumbano.....

    Ben, I support your constructive ideas. Tunahitaji watu wenye kuainisha chimbuko la matatizo tuliyonayo katika uongozi ndani ya taifa hili na si watu wanaotaka kuziba viraka pasipokujua chanzo cha kutoboka kwa nguo inayohitaji viraka. Kimsingi migongano ni mizuri ikiwa itawezakuwa managed vyema...
  9. Mwl Solomon

    Naihurumia CHADEMA kwa malumbano.....

    Ndg yangu ninakushukuru. Nami ninachomaanisha siyo kufuga wezi na watu wasiowaadilifu wenye lengo la kuhatarisha ustawi wa chama, na kwa lugha nyingine kuhatarisha ustawi wa taifa. Ninasema haya kwasababu, ustawi na uimara wa CDM na vyama vingine vya siasa hauwezi kuishia kuwanufaisha wanachama...
  10. Mwl Solomon

    Maswali kwa PM Julai 14, 2011

    Hili suala alilolikatiza spika la Shs 12 million za kodi ya nyumba ya Spika mstaafu halijakaa sawa. Hii nyumba ni ya nani na uhalali wa kodi yote hiyo inayolipwa umekaa vipi? Isije ikawa ndiyo zile nyumba za umma walizojinunulia kwa bei chee kisha wakaipangishia serikali kulipia pango kubwa...
  11. Mwl Solomon

    Zungu leo kalonga; Makampuni ya SIMU CELTEL [I stand to be Corrected]

    Binafsi sijaona pointi unayomfagilia hapo
  12. Mwl Solomon

    Naihurumia CHADEMA kwa malumbano.....

    Ndg Zembemkuu, katika kila ngazi na eneo la maisha hauwezi kuondoa huduma ya Saikolojia. Dr Slaa na wanazuoni wengine wanaweza kuelewa hili. Unaweza kuishia kumtimua mtu ambaye tatizo lake laweza kuisha kwa counselling tu. Siwezi kukushangaa kwa sababu inategemea unaliangalia suala hili katika...
  13. Mwl Solomon

    Naihurumia CHADEMA kwa malumbano.....

    Malumbano ya hoja yasiyo na uvumilivu na yaliyojikita katika kuenguana hayawezi kukisaidia CDM. Watakao iua CHADEMA ni wanachadema wenyewe kwa kuwashinikiza viongozi wetu kujenga moyo wa kufukuzana na kusemana hovyo hovyo. Leo utasikia Shibuda, kesho Zitto, baada ya muda Mh Godbless...
  14. Mwl Solomon

    Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

    Tunahitaji damu mpya kwa ajili ya Igunga. Wazee wengine wanaotajwa kwenye hii thread hawana jipya.
  15. Mwl Solomon

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    Tunahitaji watu waadilifu kwa ajili ya nafasi ya ubunge iliyoachwa wazi.
  16. Mwl Solomon

    Kuzirai kwa baadhi ya wananchi wa Igunga kutokana na kujiuzulu kwa Rostam!!

    Kuna usemi usemao "Kila shetani na mbuyu wake". Siwezi kushangaa kwani hata yule unayefikiri hakufai anao marafiki wengi wampendao.
  17. Mwl Solomon

    Mkulo: Posho za wabunge zinaweza kufutwa

    Hizo posho zifutwe haraka!
  18. Mwl Solomon

    Elections 2010 Wito wa kukamatwa kwa mnajimu

    Umekosea kumwita mnajimu, ulitakiwa uweke kichwa kinasema Mchawi!. Hatuwezi kupoteza resources kwa mjinga mjinga
Back
Top Bottom