Search results

  1. P

    Udini: Mwalimu Mkuu na wanafunzi wa Kikristo wakimbia shule Bagamoyo kuhofia maisha

    Nimesoma Tosamaganga Sekondary, kuna Kanisa zuri sana katikati ya Shule na wala halijawahi kuwa tatizo. Nachojua ni kuwa ikiwa shule ilitaifishwa kutoka ktk taasisi ya kidini basi wasingetaifisha hadi imani za waliokuwepo kwa maana kubadili kanisa au msikiti kuwa darasa au ukumbi wa mikutan au...
  2. P

    Facebook & The Today's Generation (Waste of Time)

    Naunga mkono kuwa mada zilizomo kwenye Facebook sio constructive sana na mara nyingi mada nyepesinyepesi. Hii ni kwa sababu wachangiaji wana ID zao sahihi. Pia ni kweli watu wengi hasa vijana wanatumia muda wao mwingi kwenye facebook maranyingine hupungaza ufanisi wa kazi zao Upande wa pili...
  3. P

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

    Kwa mazingira yalivyo Muhimbili kwa sasa na ikiwa Maspecialist wataendelea na mgomo basi tunahitaji maombi, kinyume chake itakuwa ni kilio kikuu.
  4. P

    CUF waishambulia CHADEMA

    Jamani, mi nafikiri CUF sio chama cha Upinzani, na CHADEMA hawana sababu ya kuwashirikisha CUF kuunda kambi ya upinzani maana wataidhoofisha sana. Sababu: Ikiwa CUF na CCM wameunda serikali Zanzibar na Katibu wao (CUF) Mkuu ndiye makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, na wabunge wake 7 wameshika...
Back
Top Bottom