Search results

  1. pedama

    Leveling na kuanza ujenzi

    Sawa inshallah
  2. pedama

    Leveling na kuanza ujenzi

    Amina Asante. Nimepata wazo la kumtafuta mtaalam Kwanza nimpeleke akanishaur. Nikiona Mambo yatakuwa mengi Sana nitauza nikanunue kwingine kusiko na changamoto hiyo
  3. pedama

    Leveling na kuanza ujenzi

    Picha haifunguki. Ila Asante kwa maelezo
  4. pedama

    Leveling na kuanza ujenzi

    Sikufikiria vizur ndugu yangu. Nishakosea
  5. pedama

    Leveling na kuanza ujenzi

    Naona nishachemsha. Inabid nijipe muda wa kutafakar nione Cha kufanya Kama Ni kuuza au kuvumilia huku nikifanya shughul nyingine
  6. pedama

    Leveling na kuanza ujenzi

    Too late asee. Sikufikiria mapema. Ila Asante nimejifunza kitu
  7. pedama

    Leveling na kuanza ujenzi

    Hapana. Hilo korongo zaman lilipitisha maji ya mvua lkn baada ya ujenz wa mitaro ya mvua mtaani yalibadil uelekeo hapa hayapiti tena
  8. pedama

    Leveling na kuanza ujenzi

    Naona nimeshakosea. Napaswa kupasahau kidogo ili nifanye Mambo mengine. Au kuamua alternative nyingine ya kupauza kabisa nikatafute kwingine
  9. pedama

    Leveling na kuanza ujenzi

    Mimi Ni Dada. Asante nitakutafuta kwa ushaur
  10. pedama

    Leveling na kuanza ujenzi

    Hiyo Ni Nini mkuu
  11. pedama

    Leveling na kuanza ujenzi

    Sawa nitaiweka
  12. pedama

    Leveling na kuanza ujenzi

    Tena nakwambia ni bei mkas Sana. Sema Kiko mtaa niliokuwa nikiupenda. Kwa Sasa ukipaona pako vizur tambalale kabisa. Sema ndo ivyo sikujua mapema athar za kutifua vile
  13. pedama

    Leveling na kuanza ujenzi

    Kwa akili za kawaida kabisa niliona Kama levo itapunguza gharama kwenye msingi
  14. pedama

    Leveling na kuanza ujenzi

    Kumbe sijaokoa kitu[emoji19] nilidhan baada ya levo nitatumia mawe kidogo Sana. Daah sikushaurisha mapema[emoji30]
  15. pedama

    Leveling na kuanza ujenzi

    Habar zenu. Nimefanya leveling mwez January mwaka huu kwenye kiwanja kilichokuwa na mteremko. Kama haitoshi nimemwaga vifusi kadhaa vya udongo ili kusawazisha kiwanja kile kwan hata baada ya kulevo Bado mteremko uliendelea kuwepo . Kwa wazoefu na wajuzi Ni muda gani mzuri naweza kuanza ujenzi...
  16. pedama

    Mkasa wa kweli: Kazi za ndani nchini Oman zilivyonikutanisha na kifo

    Utamu kolea Sent using Jamii Forums mobile app
  17. pedama

    Mkasa wa kweli: Kazi za ndani nchini Oman zilivyonikutanisha na kifo

    Vipi, imeishia wapi wapenzi? Au mtoa post kazama baharini? Sent using Jamii Forums mobile app
  18. pedama

    Mkasa wa kweli: Kazi za ndani nchini Oman zilivyonikutanisha na kifo

    Dah tuhurumie bas uweke kama epsoid tatu turest in peace for whole night Sent using Jamii Forums mobile app
  19. pedama

    Mkasa wa kweli: Kazi za ndani nchini Oman zilivyonikutanisha na kifo

    Mniite. Nzur Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom