Mkuu ni shida maisha yamebadilika sana na hali ilivyo Sasa Kuna baadhi ya matumiz utaanza kuyaacha bila kupenda Sasa utaangalia Yale ya muhimu tu lakini Kuna wengine wameshajiongeza wamekwenda kutafuta pesa za maagano
Mzazi hakoseagi kwa mtoto utabaki kuwa mtoto milele na mara nyingi usipende kubishana na mzazi au ukafikia hatua ya kumnyooshea kidogo Kuna mifano mingi tunaiona kwenye jamii tunayoishi na laana ya mzazi ni mbaya Sana na huwezi ukafanya jambo likaenda na mwisho wake ni kifo Mimi Kuna mdogo wangu...
Mkuu hio asilimia ni kubwa Sana na tunapoelekea ni tatizo kubwa kwa ma single mama watakuwa wengi kijana anampa msichana mimba yeye mwenyewe analelewa Sasa atawezaje kumuhudumia mwenzake
Mkuu nenda pale nyuki tegeta sokoni wanapochinjia kuku Kuna arufu na vumbi la ajabu Cha kushangaza wale jamaa wanaochinja wameshazoea hile hali na unakuta wameagiza chakula wanakula kule ndani Kuna siku niliingia Mle ndani nilipata mafua na homa kali.
Shida ya huu mtandao uko sehemu kubwa mjini ukienda vijijin haupo ata ukitoka kidogo nje ya mji hamna network ni shida halotel wakiboresha huduma zao watapata wateja wengi na wameenea Kila Kona mjini wapo vijijin wapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.