Search results

  1. kamban

    Voda shop Musoma mjini ni majanga tupu huduma mbovu

    Kwa kweli voda msipo chukua hatua Kwa voda shop yenu ya Musoma mjini mtakimbiza wateja maana hawana msaada Kwa wateja kuanzia Meneja wa kituo anamajibu mabovu sana na huduma ni mbovu maana hata fomu maana za kujaza mteja unapewa ukatoea copy mwenyewe Nje ya ofisi na kila siku ofisini kwao system...
  2. kamban

    Mtindi na maziwa fresh yapi yanatoa sumu haraka?

    Naomba niwaulize wadau eti kati ya mtindi na Maziwa fresh yapi yanatoa sumu mwilini haraka? Naomba mnijuze hapa.
  3. kamban

    Kama hili ni kweli, NEC mmejiabisha

    Jana nimeona post moja ya mh. Zitto, kwamba kuna mtu mmoja wa kata moja kajiandikisha mara mbili vitambulisho vipya vya kupiga kura ( BVR) na vyote kapata. Sasa kama ni kweli uhakiki wa Tume na mashine zao uko wapi na ikiwa kuna alama za vidole? Kwa kweli hapa tunaanza kupata wasiwasi wa Tume...
  4. kamban

    Polisi mnaruhusu kuvuta bangi baadhi ya sehemu?

    Ningependa kujua, hivi polisi wetu wanatoa vibali vya kuvuta bangi baadhi ya sehemu kama kwenye club za usiku? Maana nimejaribu kufuatilia nikaona klabu moja ya usiku inaitwa Emil's ipo Namanga kama unaenda Msasani; kwenye klabu hiyo, inavutwa bangi bila kificho halafu ipo karibu na kituo...
  5. kamban

    Emergency ya Tanesco ni matatizo tu

    Nimejiuliza sana hivi hawa Tanesco hii Huduma ya emergency ni emergency kweli au imekuwa biashara au imradi tu ionekana kama kuna kitengo hiko cha emergency,maana Leo nyumbani kwangu kulitokea tatizo kwenye nguzo ya kuingiza umeme kwangu,nikafanikiwa kupata namba ya watu wa emergency pale...
  6. kamban

    Sijapata kuona ving'amuzi vibovu kama vya Azam

    Kwakweli Tanzania bado sana tumekimbilia tu digital wakati vitu atuviwezi tulianza na star times ikawa picha inaganda hata kipindi cha jua wakaja azam tukazani itakuwa bora kumbe wapi ilinyesha mvua tu king'amuzi kinastaki sasa hapa ubora wao huko wapi
  7. kamban

    Kuelekea mwisho wa Ligi Kuu Tanzania Bara

    Kesho saa 16:00 hapo uwanja wa taifa je simba kupanda Ndege ama azam kuendelea kuwakilisha taifa kwa msimu wa tatu,kinachonifurahisha Yanga kuwa katikati ya mtego maana rais wa timu manji aelewani na watoto wa bakhresa na wanabifu juu ya mkataba wa azam TV,huku upande wa pili wakikaza wanambeba...
  8. kamban

    Vijana wa jangwani watua salama tunisia

    Vijana wa jangwani wamefanikiwa kutua salama Tunisia, tunawaombea mshangaze dunia siku ya jumamosi saa 3 usiku ya tz,daima mbele nyuma mwiko mabingwa wa Tanzania bara Mara 25
Back
Top Bottom