Search results

  1. I

    Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    "Huyu gamba ana masaa machache tu atopona kaugonjwa kamtindio wa ubongo"
  2. I

    Yaliyojiri uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza: Mkutano wa kufunga kampeni za CCM, Oktoba 24

    "Weweeee, nyomi ya Wenje na Sumaye viwanja vya mbugani ni balaaa, tutatuma picha baadaye....
  3. I

    Hongera JWTZ kwa kujitenga na ushabiki wa vyama wakati wa uchaguzi

    "Akili yako bora ya mbwa ambaye unaweza ku-mtrain akakulinda, sio matope uliyonayo kichwani mwako, unazijua siri za nchi wewe au unaumwa kisonono cha ubongo?
  4. I

    Magufuli azomewa tena. Ni Bunju, Boko, Tegeta na Mbezi

    " Na hao, wabishi, wapumbavu, walevi wa bangi, unga, viroba n.k....ndio watakaoonesha ubishi wao, ulevi wao, upumbavu wao, bangi zao, unga wao, viroba vyao n.k yao J2 kwenye visanduku vya kura na kuzilinda",.... Halafu kumbuka hii " Never underestimate the power of stupid people in large groups"
  5. I

    Lowassa ajihakikishia kura Milioni 6 za Dar, Arusha, Mbeya na Kilimanjaro

    "Usisahau Mwanza pia tupo imara, mafisiem huku kama ilivyo sehemu zingine yanasomba watu ili kujaza mkutano"
  6. I

    Message from Juma Mwapachu

    "The wise will always be respected, I respect you Juma Mwapachu, thank you for standing with us...your experience and wisdom is needed our take over the country"
  7. I

    Mikutano ya Lowassa Ngorongoro, Kilindi, Handeni na Tanga Mjini - Oktoba 21, 2015

    "Wakati huo huo mama yetu Regina Lowassa, anaivuruga kanda ya Ziwa, alikuwa Mkoa wa Mara leo, kesho ndani ya Mwanza....weweeee", magamba yakizomewa Dar ni hatariiii, mpaka yafe tu mwaka huu
  8. I

    Kulala kwa Lowassa Msibani kuwe Funzo kwa Wapiga kura Tanzania

    "Hata kwa wale wenye macho ukiangalia watu wengine wote hapo kwenye picha kasoro bodyguard wake na Mbatia tu ndio hawakufumba macho...hili mbona halihitaji ufike chuo kikuu kusoma picha na kujua hapo watu walifumba macho wakati dua au maombi yakofanyika!!Uliyezusha hizi taarifa mbaya na za...
  9. I

    Lowassa: Wafanyakazi mkinichagua nitapunguza P.A.Y.E kutoka 18% mpaka 9%!

    By Lizaboni: Duh! Kweli Lowasa anaishi kwenye sayari hii? PAYE imeshapungua kitambo kutoka hiyo asilimia 18 mpaka asilimia 11 sasa. Lengo la serikali ni kufikia asilimia 9 ifikapo Julai 2016. Wakati yeye anaahidi, wenzake wanatekeleza. "We pimb sana ujue....me nmematwa 14%..mwez huu,iyo 11...
  10. I

    Mwigulu Amfuta Lowassa Tunduma mchana huu

    "watu kama ni hao niliowaona kwenye picha hata 1/1000 ya wapiga kura wa Lowassa waliojitokeza jana asbh hawafiki, na J2 tunawazika kabisa"
  11. I

    Natangaza kura yangu wazi kuelekea tarehe 25/10/2015

    "Viva Mwandumbya, viva mabadiliko, viva Ukawa, viva Lowassa"
  12. I

    Mbowe atii mamlaka awataka wanachama wake kutofanya fujo

    "Wewe gamba, hauna tofauti na kima, uliambiwa Mbowe anatishiwa nyau?" Subiri uone tar 25 Oct
  13. I

    Hii ndiyo bei ya kuhonga mawakala vituoni siku ya uchaguzi

    "Kichwa chako hata kama hakikufika mlimani, yatosha kukupa digrii za heshima kuhamasisha mawakala wajitambue..."
  14. I

    Azam tv mnachokifanya hakivumiliki

    " wewe acha ujinga, Slaa kajimaliza mwenyewe, na kwa taarifa yako, kawaulize Star TV baada ya kampeni, kama watabaki barabarani..., Azam nao wanaelekea kujiahatibia credibility, huu ni wakati wa mabadiliko...kama huamini, tukutane tar 25 Oct
  15. I

    Meneja kampeni: Lowassa atashinda kwa asilimia 82

    "Huyu naye aliyeandika hapa kama ni mwanadamu basi ni wakupimwa akili asije akawa na matatizo ya mtindio wa ubongo halafu tukabaki tunamlaumu bure...nyamaza halafu tukutane tar 25 Oct ili dozi (dose) ikuingie vizuri yumkini utapona hako kaugonjwa..."
  16. I

    Meneja kampeni: Lowassa atashinda kwa asilimia 82

    "Wewe gamba, nenda kamuulize meneja kampeni wa magamba au mgombea wa magamba ile Nembo anayotumia kwenye matangazo yake ni alama ya wapi? Angelia hiyo attachment...naamini ukishajiridhisha utatulia halafu utajiuliza imekuaje yeye mvuto wake umeenda wapi?
Back
Top Bottom