Search results

  1. W

    Kingamuzi chc startimes vipi?

    Ni siku ya pili leo king'amuzi changu kinasumbua,ITV na EATV hazionyeshi kwa wenye kujua tatizo watujuze ili tujue nini tatizo,au wameshindwa?
  2. W

    UKAWA ndani ya Kahama

    Kwa mujibu wa ratiba ya ukawa leo eako kahama mjini,waliopo huko mtupe live updates
  3. W

    Kumekucha lakini serikali imelala

    \\\NAWSILISHA KAMA ILIVYO]Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 umebakiza takribanl miezi mitano.Lakini mpaka sasa,daftari la wapiga kura halijawa tayari na haliekei kuwa tayari.Vyama vyote vikuu yaani kile kinachotawala na vingine vinavyounda umoja unaoitwa UKAWA,bado havijafungua pazia la kuanza...
  4. W

    Je, inawezekana mtoto akawa ni wangu?

    Kuna dada mmoja nilikuwa nadate naye akapata mimba katika mazingira tatanishi,kwa maana ya kwamba wakati anabeba ujauzito mimi nilikuwa naugua magonjwa ya zinaa. Baada ya kumbana akakiri kuwa mimba ile siyo yangu na mpaka akanitajia na mhusika. Nilipomuuliza sababu za kutaka kunisinngizia...
Back
Top Bottom