Search results

  1. M

    Mrejesho: Uso kwa uso na shemeji gesti

    Wakuu habari za ujenzi Wa taifa Mtakumbuka 2 weeks ago nilikuja kuwaomba Ushauri baada ya kugongana uso kwa uso na mke Wa Rafiki yangu guest akitoka room na zee moja hivi huku na mm nikiwa na mchepuko ambao yy hakuuona . Hivyo akaniomba nimfichie siri bado anaipenda ndoa yake Rejea post hiyo kwa...
  2. M

    Uso kwa uso na mke wa rafiki yangu gesti

    Husika na heading hapo juu, Wakuu weekend iliyopita nilimuaga mke wangu kuwa nina semina nje ya Dar kikazi maana hiyo ndo huwa mbinu yangu ya kwenda kwenye dhambi zangu kwa siku tatu nne. Nilikua nime import mchepuko wangu kutoka arusha so nika check in kwenye hotel moja Bagamoyo...
  3. M

    Ushuhuda: Aliniroga uume ukashindwa kusimama siku ya honeymoon

    Wakuu habari, Nimekua mfuatiliaji wa jf kama visitor tu kwa mwaka mzima, wiki iliyopita nilijiunga rasmi ili niweze ku share na nyinyi mkasa huu ulionipata wakati nahangaika na ujana. Nilipomaliza chuo moja kwa moja mama wa msichana wangu alinishika mkono nikapata kazi benki ya walala hoi...
Back
Top Bottom