Wakuu habari za ujenzi Wa taifa
Mtakumbuka 2 weeks ago nilikuja kuwaomba Ushauri baada ya kugongana uso kwa uso na mke Wa Rafiki yangu guest akitoka room na zee moja hivi huku na mm nikiwa na mchepuko ambao yy hakuuona .
Hivyo akaniomba nimfichie siri bado anaipenda ndoa yake
Rejea post hiyo kwa...
Husika na heading hapo juu,
Wakuu weekend iliyopita nilimuaga mke wangu kuwa nina semina nje ya Dar kikazi maana hiyo ndo huwa mbinu yangu ya kwenda kwenye dhambi zangu kwa siku tatu nne.
Nilikua nime import mchepuko wangu kutoka arusha so nika check in kwenye hotel moja Bagamoyo...
Wakuu habari,
Nimekua mfuatiliaji wa jf kama visitor tu kwa mwaka mzima, wiki iliyopita nilijiunga rasmi ili niweze ku share na nyinyi mkasa huu ulionipata wakati nahangaika na ujana.
Nilipomaliza chuo moja kwa moja mama wa msichana wangu alinishika mkono nikapata kazi benki ya walala hoi...
Hujasoma vizuri Maelezo ya huyu mtoa mada, ameeleza kwenye uzi wake pia ameeleza wakati akiwajibu watu mbalimbali humu ndani
Kasema hivi
Suala la mkewe kukutana mzazi mwenzie Shuleni kwa sasa halipo lilitokea wakati mtoto akiwa darasa la nne, sasa hivi mtoto yupo form one
Mwanamke alishawekwa...
Nina uhakika utakua below 25
Nina uhakika hukusoma
Nina uhakika hujaoa
Nime conclude hivyo kutokana na nature ya comments zako
Maana unakimbili kutukana badala ya Ku argue kisomi kwa hoja
Mtu mwenye mke hawezi kusema Maneno haya maana kila ndoa ina shida zake tofauti ni sura ya matatizo
Wapo...
Kwa hiyo mtoa Uzi afanyeje?
Umeshasema Mwarabu hafai umetoa na mifano kwamba watu wakizaa hawaachani hapo hapo jamaa kaamua Ku move on na Jirani bado unaponda as if unamjua jiran kuwa ni mtu mbaya
Wabongo nimeinua mikono
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.