Search results

  1. B

    Profesa Magembe aanza kupingwa!

    Kauli mbiu ya kweli ya Dr Slaa kuhusu elimu ya bure ndiyo chanzo cha kuweweseka kwa bwana Magembhe-si hiyo tu vilevile tumeona mkanganyiko mwingine kuhusu bei ya cement. Wenzetu walikuwa wapi?. Mwenye macho haambiwi tazama! watanzania tuamke
  2. B

    Aliyesambaza meseji za kumkashifu Slaa ni....

    Huu ni usaliti wa Tume ya mawasiliano-Hekaheka zote za kutaka tusajili simu kumbe ilikuwa ni kampeni chafu-tuwe wazalendo. Sasa kama mambo ni hivyo iwe ruksa kwa kila chama kupeleka sms za ushabiki wa vyama kupitia Tume ya Mawasiliano!
  3. B

    Elections 2010 Hii ya chagua mtu badala ya chama imekaaje?

    Chama ni kama SETI-Baadhi ya members ndani ya seti ndo wamekwama.Kwa sasa tuangalie nini mahitaji ya Taifa letu halafu tuchague mtu atakeyekuwa tayari kuyashughulikia.Tumeshaona nyufa kenye msingi wa nyumba yetu-tunahitahi fundi wa kweli kwa ajili ya kufanya ukarabati mkubwa! wanaojiita mafundi...
Back
Top Bottom