Search results

  1. Wild sniper

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kipara hatoshi pamoja na wachezaji wake hapa hamna wa kukwepa lawama.
  2. Wild sniper

    Swali kwako mke unayefanyakazi na kipato chako hakionekani!!

    Hizi ndoa hizi hapo kweli hana umuhimu huyo nyumbani haonekani anachofanya pia hakijulikani hiyo ndo tafsiri yake. Maana kama huonekani wiki nzima basi tuone kinachofanya usionekane nacho hatuoni sasa wa nini.
  3. Wild sniper

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Misimu miwili mizima hatuoni nini kipara anataka kufanya uwanjani, Kifupi hakuna mwanga wa nini jamaa anataka kucheza ni papatu papatu tu hivyo hivyo siku zinasonga.
  4. Wild sniper

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ni suala la mda tu tutaamini wote kwamba kipara anatupotezea muda tu yeye pamoja na genge lake. Hata timu za second division hazichezi huu mpira nonsense.
  5. Wild sniper

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hii timu imelogwa wallahi sio bure.
  6. Wild sniper

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ni vile tu ni mapenzi ndo mana tunavumilia ila kiuhalisia huu mpira sistahili kuuangalia hata dakika moja ni aibu na fedheha kuchezeshwa namna hii kila mechi.
  7. Wild sniper

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Leo nayo ni siku kama siku nyingine. Kwa mpira huu si bora tungebaki na mou tu.
  8. Wild sniper

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kama Luton anatupigia mpira vile leo sijui itakuwajee maana sio nusu uwanja bali watakua wanacheza kwenye 18 yetu dakika 90, labda kama wachezaji waamue kutulindia heshima leo. Mechi naangalizia online ili nikifungwa nisipate kero kama nikiwa vibanda umiza.
  9. Wild sniper

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Pamoja na ubovu wa wachezaji wetu ila kocha hawezi kukwepa lawama hata kidogo, haiwezekani kila timu inatuposess kila mechi fainali hapana hata kama wabovu lakini kochaa hamna pale mmiliki mpya aangalie wachezaji wa kuondoka na kocha wao. Majeruhi sio kisingizio kama kuna style of play timu...
  10. Wild sniper

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hawa wachezaji huwa wanafurahia kucheza hivi?? Haijulikani tunacheza nini.
  11. Wild sniper

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Amad inamaana bado hajamfurahisha mwalimu ama hajapona vizuri?
  12. Wild sniper

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Maino apate tu kocha atakaefungua potential yake yote maana anafurahisha kumuangalia na mpira mguuni. Ila timu kama hii kutuchezea nusu uwanja sio sawa ni dharau kubwa mno.
  13. Wild sniper

    Hoja ya Mpina kuhusu upasuaji wa kuongeza makalio yazua mjadala Bungeni

    Vitu vingapi vinafanyika bila kibali cha bunge amewahi kuhoji?? Wanaacha kuhoji sensitive issues anahoji ujinga wa mtu mmoja mmoja.
  14. Wild sniper

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Lete story watu mnapotiana mikasa sana wengine hatujawahi tunaona kama movie.
  15. Wild sniper

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hojlund kaanza kujipata
  16. Wild sniper

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Watu wanacheza kama wanagoli 3 na wanaongoza ligi wamerelax mpaka lirudi wanaanza kukimbizana.
  17. Wild sniper

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ile no ya Antony last match garnacho aliicheza vizuri mno utadhani ndo namba yake asili ila huyu ndugu yenu wa brazil hapana asee labda tumpe msimu mwingine..Oooh mlisema anakaba sana okay
Back
Top Bottom