Search results

  1. U

    Hiyo mimba tafuta wa kumpa, mimi nilikuwa napita tu

    Karma is a bitch ,yakikukuta pia tunaomba mrejesho .
  2. U

    Ushauri: Ana mchumba mwingine ila kampa mimba single mother

    ''Jamaa ana mchumba ambaye wako serious'' teh teh teh wanaume Bwana .....mi napita tu
  3. U

    Natafuta kazi, Nina degree ya statistics

    Habari za majukumu wakuu, Niko hapa jukwaani kutafuta fursa ya ajira ya muda au permanent. Nina uzoefu wa kusimamia miradi mbalimbali kama project coordinator, kukusanya, kuanalyze na kumanage data kwa ujumla kwa kutumia excel au statistical packages kama SPSS,STATA etc. Pia nina teaching...
  4. U

    NBS wadadisi wa mapato na matumiz kwa kaya binafsi.

    Watakwimu kibao tumeachwa mkuu na Mimi nikiwa mmojawapo,kiukweli sikuelewa kwanini
  5. U

    Mke wangu kajifungua, ni zawadi gani itamfaa kama shukurani?

    Such kind of a gentleman be blessed
  6. U

    Anataka mchukua mwanangu kinyemela

    Hapo ,huna mpango wa kuzaa tena kwa sababu gani??? Please usimruhusu MTU mmoja akuaribie mipango yako bibie kwani wewe sio single mom wa kwanza kuna wenzako kibao walitelekezwa na wakaanzisha familia nyingine pia hawakuruhusu hiyo situation iwarudishe nyuma. Labda kama ulipanga kuzaa mtoto mmoja...
  7. U

    I'm HIV + naanza safari yangu ya matumaini

    Am very sorry mdogo wangu ,Mungu akupe ujasiri ila kwani naamini unapitia kipindi kigumu sana ,hata ningekuwa Mimi nahisi ningechanganyikiwa zaidi yako . All in all maisha lazima yaendelee uchukulie tu kama ugonjwa mwingine like malaria etc na ujitahidi kula vizuri na kufanya mazoezi pia ...
  8. U

    Majina ya walioitwa kwenye usahili ofisi za Takwimu Taifa (NBS)

    Haya ni kwa ajili ya utafiti wa kaya?wa mwaka mzima au kwa kilimo wadau
  9. U

    Naomba ushauri kuhusu haya matokeo ya TRA.

    Hongera sana ,kila la kheri Sent using Jamii Forums mobile app
  10. U

    Wanaume wenye sifa na matendo haya hutufanya tukose hamu ya tendo la ndoa

    Hahahahah namba saba noma ,nimecheka kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  11. U

    Hataki kuja kujitambulisha kwetu ingawa wazazi na ndugu zake wananipenda sana

    Upo njia panda ???hilo sio suala la kuwa njia panda tena ,piga moyo konde uachane na huyo jangili dadangu muda mwingine upendo tu hautoshi kuwa kinganganizi kwa MTU ambaye hana mda wala future na were.GO WHERE YOU ARE APPRECIATED Sent using Jamii Forums mobile app
  12. U

    Mchumba wangu amenizimia simu

    Nimeipenda hii kama ni kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  13. U

    Maswali ya usahili TRA

    Kila la kheri mnaofanya usaili kesho Sent using Jamii Forums mobile app
  14. U

    Mazingatio juu ya uandishi wa CV

    Asante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. U

    Majina ya kuitwa kwenye Usaili TRA yawekwa hadharani

    Nimependa walivyowagawa kikanda ,hope huu utaratibu utaendelezwa Sent using Jamii Forums mobile app
  16. U

    Tangazo la kuitwa kazini Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) na Shirika la Viwango Tanzania (TBS)

    Hongera kwa waliopata kazi Sent using Jamii Forums mobile app
  17. U

    Nafunga ndoa karibuni sana

    Hongera sana kaka ,Mungu awe baraka katika ndoa yenu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom