Search results

  1. W

    Shida ni kwenye king'amuzi cha startimes? TCRA mko wapi?

    Kuna aina mbili za pay Tv. DTH na DTT. DTH ni inayotumia satellite dish na hii sheria haimbani mtoa huduma kuonesha local channels bure kama hujafanya malipo lakini DTT ambazo hutumia antenna ni lazima kuacha local TVs hata kama malipo yamekwisha. DTH stands for Direct To Home and DTT stands...
  2. W

    Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

    Takwimu ya 65% ya population umeitoa wapi? Binafsi sijawahi kuhisi kama kuna udini serikalini.
  3. W

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Text zenyewe haziendi. Unatumiwa text leo unaipata kesho! Yaani kiufupi mmezidisha matangazo ambayo hayana uhalisia. Sms zenu zisizo na tija kwetu ndio kibao.
  4. W

    Pengo: Nimesamehe

    Matusi aliyoyatoa Gwajima kwa Pengo hayakua mazuri tena kwa kiongozi wa kiroho unaongeaje namna ile. Siungi mkono alichokisema Pengo kuhusu mahakama ya kadhi lakini hiyo haimpi mtu yoyote kumtolea matusi kama yake mzee wa watu. Gwajima alikosea na anahitaji kuombewa kweli.
Back
Top Bottom