Search results

  1. E

    CHADEMA Chukueni hatua dhidi ya Dr. Slaa na Mzee Mwanakijiji haraka sana

    Kuna mambo mengi sana ya kufanya hatuna muda wa kubishana naye hapa tena.Kila mtu kwa muda huu hakikishe anapiga simu au kutext msg kwa ndugu yake na kutoa elimu ondoa ccm .Kila ukiamka hakikisha unaongea na rafiki au ndugu yako kuwa una kichinjio?kama kipo sasa toa elimu.M4C NDUGU KWA NDUGU...
  2. E

    Addis Ababa Treni ya umeme, Dar es salaam BRT Bus arrived. sept 2015

    mabadiliko ni lazima ,mchawi wetu tumemjua ni ccm.Lazima atoke 0ct 25
  3. E

    Naomba vyombo vya Dola kuwa makini na usanii mpya wa kuchangia Lowassa

    Rais wa Libya kwa mujibu wa magufuli ni Sadaam Hussein,hapana Sadam hussein rais wa kuwait ,HAHAHAHA.
  4. E

    Hali ni tete ndani ya UKAWA

    Hii ni tatizo la njaa tu.Vumilia jamaa yangu.tuiondoe madarakani ccm.tuweke pembeni njaa zetu.
  5. E

    Mwigulu Afukuzwa toka Timu ya Magufuli

    Kama wakiona matusi Ndio njia ya kuelimisha watu. Ndio inawatafuna sasa.
  6. E

    Magufuli peke yake ndiye anayeweza kufuta umasikini na kupunguza gharama za maisha

    miaka yote mmeshindwa kuboresha miundo mbinu ,sasa leo ndio mnakuja eti Magufuli pekee?,nakubaliana na wewe ni mchapa kazi,lakini swala la kufufua viwanda ,sio lazima reli pekee.ni muungano wa barabara ,reli,usafiri wa baharini,ziwani,kwenye mito mikubwa.Hatuwezi jenga reli kila kona ya nchi hii...
  7. E

    Mbowe asalimu amri kwa Slaa

    Nakujua upo hapo kwenye computer au umepewa simu ya bure kwa sababu gani?.Lakini jaribu fungua macho kidogo tu,angalia watoto wa binamu yako[ukoo wa mbali]wanaishi vipi??,mdogo wa babu yako anaishi vipi?.nimeandika hivi nina maana kuwa hizo pesa mnazopewa hazitawafikia hao ndugu zako.Sasa...
  8. E

    Mbowe asalimu amri kwa Slaa

    Helena Ongara sio wa wa Tawi la DMV.Helena ni wa columbas ,ohio.Mimi ni Ludigo Mhagama. ninawatoa hofu makamanda,tutaandika baadae ripoti nzuri kabisa.Mimi ni ndio katibu kwa DMV kwa muda kutokana na katibu wetu kwenda kugombea ubunge.Ninakupeni uhakika huo.Sisi chadema hatufichi kitu kama...
  9. E

    Mbowe asalimu amri kwa Slaa

    Mimi ndiye katibu wa DMV hapa USA.nashangaa na hii habari.kwani unaonekana huijui washington dc.Huyo mwenyekiti wa wa wanawake hapa DMV ni mwingine.Huyo uiyemtaja hapo juu ni wa tawi la ohio.Pole sana sisi tupo makini sana hata mkwere anajua hilo.Hatumbabaikii mtu ndio maana akitaka kujaza watu...
  10. E

    Elimu ya Bure ya Lowassa ni Kiini Macho

    Kuongeza mikoa,wilaya,wizara nyingi hiyo budget yake ipo.Unajua gharama yake.kuanzia madereva wa wakuu wa mikoa,wilaya,wafanya kazi ofisi ya mkuu wa mkoa,wa wilaya.hata nisiende mbali.mwenye upeo anajua tukibana mianya hiyo basi .tosha kabisa
  11. E

    Reginald Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa

    Leo nimepiga simu na kuongea na ndugu zangu huko vijijini,nimewashawishi ndugu zangu 10 ,na watampigia kura lowasa.Ninaendelea kutumia simu kuongea na kutext kwa jamaa na marafiki kila kona ya nchi.Mtu mmoja kutoka sio kitu.kila mtu mwezi huu awasiliane na jamaa zake ,kweli inafanya kazi...
  12. E

    Reginald Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa

    Kwani mtu mmoja akiondoka na 50 wakiingia kuna hasara hapo?
  13. E

    Wakenya waunga mkono MABADILIKO...

    Mkuu sote tunaitakia nchi tubadilike ,na tusonge mbele.Mkuu rasilimali za nchi yetu hazilingani na kasi ya maendeleo ya nchi.Kwa mfano uranium pekee naweza sema ingetengeneza barabara zote za nchi.Ninger inaitumia hiyo rasilimali vizuri sana.Nchi za wenzetu waarabu wengi wao wana resource moja...
  14. E

    Kutoka Morogoro: Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Acha sasa wananchi wawe na nguvu ya kumtaka nani awe kiongozi na siyo group la wachache.Tuuvunje utawala wa kifalme wa ccm
  15. E

    Wakenya waunga mkono MABADILIKO...

    Nakubaliana na wewe kabisa ,kwani mzazi wako alikuacha hakukuwekea mazingira mazuri ya wewe ukuwe vizuri,upate lishe nzuri ili uwe na akili ya kusoma na hatiamaye uwe na maendeleo.Nipo na wewe mkuu
  16. E

    Tundu Lissu: Richmond ni ya Rais Kikwete

    Kwa kweli mabadiliko ni lazima hakuna kulala.tumia muda huu kupiga simu kijijini kwako ,kwa rafiki zako wote ktk huu mwenzi mmoja ,ili utoe elimu ya kupiga kura na kulinda kura.kila kituo waende na taa zao [taa za kandili au karabai]kwani hatutachechewa mchezo wowote.washa taa kabla giza...
  17. E

    Wakenya waunga mkono MABADILIKO...

    Kwani kuna tatizo ukitukanwa sema utauona ujinga wangu october 25.Hapo ndio utajua.Tunajua mmetumwa kuitetea ccm kwenye mitandao.nakuomba mtazame ndugu yako wa mbali .hiyo pesa unayopata haiwezi kusaidia kila mtu kwenye ukoo wenu.tunahitaji ukombozi wa jumla.
  18. E

    Muamala wa Lowassa hatarini

    Watu hatufuati pesa tunataka mabadiliko.nyie mko huko ccm ndio maana hamuangalii matatizo ya ndugu zenu mnaangalia pesa tu,aibu hiyo ndugu.badilika .shangazi zako ,bibi zako na binamu zako wanaitaji mabadiliko ya kweli
  19. E

    Kugegeda mara1 kwa wiki

    Angalia vitu gani anapendelea sana sana.Husimlazimishe mapenzi ,wewe toka naye out ,fanya shopping.Na wale husimwombe mapenzi.mletee zawadi kubwa ambayo alikuwa anaiongelea.alafu wewe endelea kama vile unatoka nje vile kwenda kuongea na marafiki zako.Husikae sana nyumbani.hukimletea zawadi ongea...
Back
Top Bottom