Search results

  1. C

    Siku wananchi wakijua haki zao hospitali kutakuwa kuchungu sana!

    Wakuu naona hamkunielewa vizuri. Ukisoma between the line kwenye ujumbe wangu utaona kuwa nimesema sina uhakika kama ridhaa y mgonjwa inatekelezwa ipasavyo. Bahati nzuri mimi nimefanya utafiti kweli holi suala la hiv testing and counselling. Haimanishi mimi nasupport kile ambacho kimetokea bali...
  2. C

    Siku wananchi wakijua haki zao hospitali kutakuwa kuchungu sana!

    Wakuu naona hamkunielewa vizuri. Ukisoma between the line kwenye ujumbe wangu utaona kuwa nimesema sina uhakika kama ridhaa y mgonjwa inatekelezwa ipasavyo. Bahati nzuri mimi nimefanya utafiti kweli holi suala la hiv testing and counselling. Haimanishi mimi nasupport kile ambacho kimetokea bali...
  3. C

    Siku wananchi wakijua haki zao hospitali kutakuwa kuchungu sana!

    Nafikiri kuna jambo ambalo bado halijafahamika kwa Watanzania wengi. Katika upimaji wa Vvu tanzania kuna aina tatu: voluntary counselling and testing; PMCTC kwa ajili ya akinamama wajawazito; na Provider initiated testing and counselling ambayo imeanza rasmi mwaka 2007. Kwenye hii aina ya tatu...
  4. C

    Siku wananchi wakijua haki zao hospitali kutakuwa kuchungu sana!

    Nafikiri kuna jambo ambalo bado halijafahamika kwa Watanzania wengi. Katika upjmaji wa Vvu tanzania kuna aina tatu: voluntary counselling and testing; PMCTC kwa ajili ya akinamama wajawazito; na Provider initiated testing and counselling ambayo imeanza rasmi mwaja 2007. Kwenye hii aina ya tatu...
  5. C

    Elections 2010 Obama Congratulates Tanzanian People, Shein but skip congratulating JK

    Hiyo Democratic na Transparency anayoisema huyu Obama iko wapi? Ni ile ya watu kukesha kwenye majimbo yao kulinda kura zisichakachuliwe? Hii ndo transparency and democracy? Ni ile ya NEC kufanya tallying ya matokeo kwenye maficho? Naona huyu jamaa naye anataka tu kujifurahisha. Sishangai kuona...
  6. C

    Elections 2010 Museveni achukua Sera ya Chadema: Free A Level Ed kuanzia mwakani.. TZ? Haiwezekani.!

    MM, Hili suala la kuprovide free education inawezekana kabisa. Tunachokikosa Tanzania ni uongozi ulioamua kulitekeleza hili. Uganda ni nchi maskini sana na hawana rasilimali ambazo sisi tunazo. Sisi tuna kila kitu cha kuweza kuinua uchumi wetu na kuweza kuleta maendeleo kwa wanachi wetu...
  7. C

    Mke wa ndoa na Housegirl nani mtamu?

    Wewe hizo takwimu nyingi umezipata wapi? Kama housegirl kavunja ndoa yako basi wewe una matatizo na unafaa kusaidia kisaiklojia na maombezi.
  8. C

    ''Katibu Mkuu wa CCM naye awe mwanamke!''

    G, hata mimi nakubaliana na wewe kabisa. Kuna haja ya sisiem kuwa na mgombea uraisi mwanamka maana hiyo nafasi toka uhuru inashikiliwa na wanaume. Lakini kama ulivyosema wangeanza hapo kwa makamba kwanza.
  9. C

    Bunge la 10 likiongozwa na mwanamama Tegemeeni kusikia haya hapa kwa Spika

    wote mlioandika kuhusu wakina mama mnahitaji msaada wa uelewa kwamba binadamu wote ni sawa na wanamama ndio wenye busara kuliko zenu mmejionyesha kwa uandishi wenu wa kudhrau wanawake. POLENI NATAMANI MUENDE KOZI YA GENDER. NADHANI HAMJASOMA POLENI SANA . pIA HAMNA HESHIMA . ppOLENI SANA NA...
  10. C

    Dunia IMEKWISHA. Chekini BWABWA hili

    Te te teeeeeeeeeeee
  11. C

    Elections 2010 Mapungufu ya sera ya elimu bure

    Naona sera zako hazina mashiko kabisa. Kama hao wananchi walikupenda kwa sababu ya sera hizo basi wamekula hasara kabisa. Mimi naamini kabisa elimu bure Tanzania inawezekana kama serikali ikiamua kufanya hivyo. Huyu mwananchi unayemchangisha wewe analipa michango mingine lukuki in all walks of...
  12. C

    TAKUKURU: Chenge hahusiki na tuhuma za RADA

    Ama kweli jasiri haachi hasili. Hapa inadhihilisha wazi kuwa serikali ya sisiem haiko kwa manufaa ya wananchi. Mbona kipindi chote hicho hii Taasisi ya Kukuza na Kurutubisha Rushwa haijawahi kutoa tamko kama hili. Kwa nini ni kipindi hiki tu ambacho mzee wa vijisenti anaomba uspika? Binafsi...
  13. C

    Elections 2010 Zijue Halmashauri zitakazoongozwa na Chadema

    Hongera kwa halmashauri hizo kwa kuonyesha mabadiliko ya dhati.
  14. C

    Elections 2010 Eti Sitta ataka uspika, asema anafaa, Kweli ataliweza hilli Bungo La 10

    Yani huyu mzee wa vijisent hafai hata kidogo. Inamaana yeye anaenda bungeni kutetea tena ufisadi? Nilifikiri atakuwa amejifunza kumbe hakuna kitu kabisa. Sijui kwa nini wanachi wa barihadi wamemrudisha tena huyu jamaa
  15. C

    Elections 2010 Wana JF Tumeiangusha CHADEMA, tumewaangusha watanzania, tumemsaliti Dr Slaa

    Mimi binafsi nashangaa sana kusikia hoja za udini na ukabila ndali ya Chadema. Jamani kitu chochote lazima kiwe na mwanzilishi, lazima tukubali hilo. Eti kwa kuwa Chadema kilianzishwa na watu wa kaskazini basi ni chama cha ukabila, nadhani sio sahihi. Kuna wanachama nchi nzima na wengine...
  16. C

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    Ni wananchi wepi wamekuambia Zitto hayumo kwenye vichwa vyao? Huo utafiti wako umeufanya wapi? Tupe data za uhakika.
  17. C

    Pinda hastahili kuwa PM, si mbunge wa kuchaguliwa

    Sidhani kama hiyo interpretation ni sahihi. Kwani Pinda ni Mbunge wa kuteuliwa? Kateuliwa na nani? Nafikiri kwa kuwa amepita bila kupingwa ina maanisha ni mbunnge wa kuchaguliwa.
  18. C

    Elections 2010 Dr.Slaa kutoongea na waandishi wa habari kesho jumapili

    Binafsi nakubalina kabisa na msimamo wa Dr Slaa kukacha sherehe za JK. Hata hivyo nawatakia mazungumzo mema. Mungu awape hekima zaaidi katika hili. Natumaini tutafika mahali pazuri kabisa kwa manufaa ya nchi yetu.
  19. C

    Felix Mkosamali: Mbunge mdogo (24yrs) toka NCCR, apata ushindi 97.72%

    Hii inatia moyo sana na ni record ya kipekee. Inafaa kuigwa pia
Back
Top Bottom