Search results

  1. R

    MSAADA: Sehemu ya ku attach cover letter kwenye recruitment portal.

    Natumai ni wazima wa afya 1. Naomba msaada wenu sehemu gani yaku attach cover letter kwenye recruitment portal ? 2. Cover letter hizi tunaandika kwa mkono au tunachapa?
  2. R

    Msaada; Kuku kuchangia kiota kimoja cha kutagia

    Niwatakie Jumapili njema, Kuna tatizo linanisumbua kutokana na kuku wangu wa kienyeji kutaga sehemu moja kwa pamoja (Kuku wawili hata watatu wanataga kwenye kiota kimoja). Nimejaribu kuweka viota vingi kwa ajili ya kutaga lakini bado wanalundikana kwenye kiota kimoja. Naombeni msaada wakuu...
  3. R

    Field or tempo: Dodoma mjini

    Wakuuu me nimwanafunzi Wa Mzumbe nipo likizo takribani Miezi Mitano natafuta tempo ya kufanya kwa Mda huo , Nipo mwaka Wa Kwanza nasomea Human Resources Management.
Back
Top Bottom