Search results

  1. R

    Utatuzi wa uvunaji wa gesi Mtwara bado kitendawili. Chanzo ni nini?

    Nakuunga mkono, tuna tatizo la Uongozi bora na Siasa Safi.
  2. R

    Sakata la gesi, CUF kufutwa endapo...

    Aah! Ngoja nikatafute ugali wangu mie...
  3. R

    walikuja Dar mkawafukuza!

    Patamu hapo!
  4. R

    Serikali haiwajali wazanzibar?!

    Mi sioni tofauti ya serikali... Iwe ya Muungano au SMZ....Kinaongoza Chama kilekile pande zote mbili! Japokuwa kwa mtazamo wangu Serikali ya Muungano ndo inawajibika zaidi katika masuala ya usalama wa raia!
  5. R

    Serikali haiwajali wazanzibar?!

    Inasikitisha sana..... Eti watu binafsi wamejitolea kuendelea kuopoa maiti za waliozama na Mv SKAGIT huko Z'Bar (japo Serikali imesusa kuendelea na zoezi hilo)... na leo zimepatikana maiti tano. Na wamekiri kuwa kuna maiti nyingine nyingi tu zimenasa kule chini. Cha ajabu ni kuwa serikali...
  6. R

    Madam Speaker :Anne Makinda apology won't be enough just resign!

    Umeeleweka lakini hakukuwa na sababu ya kukopi gazeti zima.... Ungeleta hoja vizuri kuonesha UDHAIFU wa Makinda katika suala hili then tuone anajiuzulu vipi...:A S-baby:
  7. R

    VIDEO: Dr. Ulimboka; kwa kinywa chake mwenyewe! | Ambayo hukuyajua...

    hiyo mbona rahisi Dr Kupeng'e... Click kwenye hiyo link udownload na kupata the latest version of Flash player. Then install... jaribu kufungua tena, hopeful itakubali na pia hakikisha kama internet speed yako haiko chini sana!:hat:
  8. R

    Cheyo aishambulia CHADEMA bungeni

    Huyu mzee anazeeka vibaya!
  9. R

    OPERESHENI Okoa Kusini ya CHADEMA yashika kasi

    Wakati wa ukombozi wa Tanzania ni sasa, kila mmoja awe sehemu ya ukombozi huu kwa kupinga Ufisadi na kuhimiza uwajibikaji katika ngazi zote za mahamuzi.
Back
Top Bottom