Search results

  1. Petro Proshenko

    Dodoma iitwe Nyerere JK City

    Hili ni wazo langu pekee mimi siyo mjumbe wa Kamati Kuu wala NEC wala mwanachama wa chama chochote cha siasa ni raia mzalendo wa kawaida tu niliyezaliwa miezi michache kabla ya uhuru wa nchi hii. Baada ya kukubali kuwa Dodoma yawe Makao Makuu ya Serikali, nimetafakari kwa kina sana kwanini...
  2. Petro Proshenko

    Kitengo cha Usalama Barabarani cha Wizara ya Miundombinu

    Je kitengo hiki kinafanya kazi zake ipasavyo? Kinachangia sana katika ongezeko la ajali,mauwaji ya waenda kwa miguu , waendesha magari na vyombo vyote vya moto vitumiavyo barabara.Kwanza; Elimu ya matumizi ya barabara. Pili,Alama za barabarani;Tatu akili za waendesha...
  3. Petro Proshenko

    Sifa hizi tunazipenda sana ,Ni kwanini?

    Akizungumzia mradi wa magadi soda, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NDC, Mlingi Mkucha, alisema utafiti waliokuwa wamefanya umebaini kuwapo kwa mita za ujazo trilioni 4 na milioni 700 za magadi soda katika eneo hilo, hali ambayo inaifanya Tanzania kuwa nchi ya tatu kwa kuwa na akiba kubwa ya...
Back
Top Bottom