Search results

  1. B

    Elections 2010 Maswali Magumu: Kikwete wa mtandao kageukia familia?

    Kupiga kura muhimu! Nyumba yangu tu chadema wanazo kura nne za nguvu na Kijijini wanazo kura za uhakika maana nimetwanga kampeni ya kutosha ccm wataponea wapi?
  2. B

    Elections 2010 Maswali Magumu: Kikwete wa mtandao kageukia familia?

    I like this! Yaani ndg zangu CHADEMA msifanye kosa ktk hili. Msogezeeni Mh Slaa afunge magoli ya mwisho tena kwa kisigino! Yaani baada ya miaka mitano familia ikiingia nakutoka ikulu wameamua kuibinafsi kuifanya taasisi ya familia? Mahali patakatifu pana najisiwa kiasi hicho? Hatujafika...
  3. B

    Sheikh Yahya Alazwa !!

    Hakuna apendaye jirani yake augue achilia mbali kufa! Ila kwa huyu mzee yeye aligeuza taifa la tanzania kuwa darasa la kufundishia uchawi na kazi za majini, alijifanya mnajibu wakutabiria watu mabaya kwa mazuri kadiri apendavyo kanakwamba alitumwa na Mungu na mbaya zaidi kwa makusudi akatangaza...
  4. B

    Sheikh Yahya Alazwa !!

    saiah 47 EWE CCM na WATABIRI WAKO SIKIA:....... *1COME DOWN, and sit in the dust, O Virgin Daughter of Babylon; sit on the ground [in abject humiliation]; there is no throne for you, O Daughter of the Chaldeans, for you shall no longer be called dainty and delicate. *** 2Take the...
  5. B

    Sheikh Yahya Alazwa !!

    Hiyo ni mwanzo tu NENO LA UNABII JUU YA CCM SHEIHK YAHYA NA WENZAKE HILI HAPA!!! ISAYA 47: 1-15 Hapo ndipo mtamshangaa Mungu alivyo bize na nchi hii. CCM wanadhani amelala. Kama CCM wanambishia Mungu wasubirie waone. Ni Mungu ameamua. Full stop.
  6. B

    Mbatia ataka siasa za kibabe ziepukwe wakati wa uchaguzi

    Sasa nani wa kuangaliwa Dr slaa au ccm na shimbo? Wao ndio wanawaza kumwaga damu ya watu watakao hoji matokeo hata kama yame chakachuliwa! Mambo mengine ni uwezo wa kuchambua. Kichwa cha habari hakiendani na content! Hoja za kipuuzi ni za kupuuza. Tunaomba hoja za msingi tutadili. Sio hoja za...
  7. B

    Elections 2010 CHADEMA yashitaki Umoja wa Mataifa

    Yaani mwaka huu CCM waandae mapipa ya maji kuwamwagia makamanda wao akina kinana, makamba, kikwete mpaka tumaini lao shehe yahaya. Maana kikwete atakapoanguka akitafutwa shehe yahaya nae wataambiwa ndio kwanza ana halimbaya zaidi alizirai tokea jana yake! Hapo kinana nae chini makamba akisikia...
  8. B

    Utafiti wa REDET wampa KIKWETE 71% Dk. Slaa 12%

    Mosi, Pamoja na kuziignore hizi kura chondechonde kampeni meneja wa CHADEMA simama kwenye vyombo vya habari uzichambue na kuzipuuza maana wanataka kujenga hisia potofu kwenye masikio ya baadhi ya watu. Hakikisheni hili linafanyika msiache tafadhali! Pili hawa CCM na vibaraka wao watafiti wajue...
  9. B

    Elections 2010 Wanavyuo tulionyimwa haki

    Ndg zangu mie bado ninatafakari habari za wa 16. Wazo langu ni kwamba huko. Tuliko tuhakikishe basi tunafanya kazi ya kufa na kupona kwa kukuwa mabalozi wazuri kwenye zoezi la kusimamia uhesabuji wa kura. Tukifanya hilijukumu vizuri tutakuwa tumefanya kazi kubwa yumkini kuliko kura moja...
  10. B

    Hi, am a new member!

    Wakuu naomba niwasabahi! Nimekuwamsomaji siku nyingi wa hii forum lakini leo ninaomba uanachama rasmi!
Back
Top Bottom