Search results

  1. Miss Bunyeta

    Nimepatwa na upofu

    Wanajamvi naomba mnieleweshe mnaielewaje hiki kibango? naamini wengi tumepita tukakiona katika vituo vya mabasi ya mwendo kasi mnakielewaje tafadhali?
  2. Miss Bunyeta

    Ushauri: Anaumwa na kichwa akimaliza kufanya mapenzi

    Nina mdogo wangu wa damu kabisaa ananifata ambaye ameolewa,jana kaja kwangu ananiomba nimshauri na tatizo lenyewe nii." Akisex na mumewe wanafanya vizuri inapofikia mumewe ana ejaculate.Sasa yule bwana anaumwa kichwa cha ajabu mno kuanzia anapotaka kuejaculate mpaka dakika kumi baada ya sex"...
  3. Miss Bunyeta

    Wana JF, Naomba kujuzwa juu ya pishi liitwalo Stima

    Nikiwa mjini Tanga STIMA ni chakula maarufu sana mjini hapo, ni tamu sana na watu wengi hulisifia sana, unapata STIMA ya kuku, mbuzi au ng'ombe. Sasa mimi natamani sana kujua namna ta kulipika naomba yeyote ajuae anjuze tafadhali. Sijui kama nimekosea jina au laah!
Back
Top Bottom