Search results

  1. H

    Halotel configuration

    mkuu nifahamishe niko na laptop ndio nataka kutumia hii internet halotel nitapata usb na simu card yake ..
  2. H

    Wapinzani wakubali kuwa baadae Pemba itadai jamhuri yao

    wewe ---- sana,kwani wapemba wakidai jamhury yao kuna ubaya gani,mbona south sudan hukuongea baada ya kudai uhuru wao sikiza usiwe mtabiri kama shekh yahaya huseni or nyerere,kama koti la serkali tatu litatubana tutalivua tu ..---- wewe ...
  3. H

    Wapinzani wakubali kuwa baadae Pemba itadai jamhuri yao

    hakuna tena suala la kubembeleza kuhusu muungano,ikipita 3 tutangalia kama hakuna maslah basi koti tutalivua,na kudai jamhury ya watu wa pemba ..tunataka tupumue ..
  4. H

    Wapinzani wakubali kuwa baadae Pemba itadai jamhuri yao

    wewe ---- sana,kwani wapemba wakidai jamhury yao kuna ubaya gani,mbona south sudan hukuongea baada ya kudai uhuru wao sikiza usiwe mtabiri kama shekh yahaya huseni or nyerere,kama koti la serkali tatu litatubana tutalivua tu ..---- wewe ...
  5. H

    MASWALI: Wana CUF naomba msaada!

    Lipumba na maalim seif mpaka kieleweke kwa tanzania,kila uchaguzi ndio wagombea au washinde urais,hilo mbona lijulikana wala si lakujenga hoja,na chadema mwaka 2015 tunawaomba muunge mkono lipumba ili awe rais wa tanzania,kwa zanzibar seif ameshinda ..
  6. H

    Hakuna mgogoro CUF -Seif

    Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga,cuf ndio muasisi wa mageuzi tanzania
  7. H

    Hakuna mgogoro CUF -Seif

    mpemba mbishi unaongea ukweli mtupu mkuu kuhusu hamad rashid muhamed,kwani mkutano wa ufunguzi wa kampeni za uchaguzi mkuu,ulifanyika uwanja wa gombani ya kale pale chake chake,:A S 465:alisema usia wa baba yake ni kuhakikisha awe na heshima na adabu kwa seif sharif hamad, muulizeni je...
  8. H

    Anayempinga Kikwete si mzalendo

    Duh hii kiboko yao... nimecheka sana kuona bango la CCM nyuma ya huyu mzee mwenye ari na nguvu mpya akienda kwa kasi mpya.. hadanganyiki huyo udenda unamtoka kwa njaa ..
  9. H

    Elections 2010 Lipumba katika kampeni mjini Bukoba (picha)

    Lwakatare ndio mtu wasi wasi hakuna katika siasa,baada ya kupigwa bao na kagasheki mwisho wake ndio hapoooooo cuf ndio chama cha upinzani kitakachotoa historia kwa kuwa na rais katika jamuhuri ya muungano iwe zanzibar au bara kwanza chadema haipo zanzibar ..hicho sio chama cha kitaifa ..
  10. H

    Elections 2010 Lipumba katika kampeni mjini Bukoba (picha)

    HAISUMBUI Mchukia Fisadi View Profile View Forum Posts Private Message View Articles Add as Contact ILA NASEMA CHADEMA SIO WAPAMBANAJI WA KWELI!WANA NYOMI SIO MCHEZO ILA NI KAMA MOSHI WA KIFUUUUUUUU AFTER UCHAGUZI HUYU HAFAI YULE...
  11. H

    Elections 2010 Lipumba katika kampeni mjini Bukoba (picha)

    Urasa wewe hujuwi mapandikizi ya ccm!kwa taarifa yako kuanzia mtei muasis wa chadema mpaka mpendazoea fried hakuna mpambanaji wa mageuzi pale,historia inaonyesha wapambanaji wa kweli ni cuf,kuanzia lipumba,hamadi mpaka minazi na migomba ipo nyuma ya cuf,kwa sababu kama sikuonja bakora za ffu...
Back
Top Bottom