Search results

  1. Jeff the profucer

    Direction kufika Mzumbe Sekondari

    Wakuu naomba direction kufika mzumbe sec kutokea morogoro basi stand ikiwezekana na nauli yake thanks
  2. Jeff the profucer

    Mzumbe sec joining instructions

    Wakuu mwenye joining instruction ya mzumbe form five anisaidie thanks milelejaphet@gmail.com
  3. Jeff the profucer

    Kwa waliofanya application TCU

    wadau naomba kujuzwa hv baada ya kukamilisha programe selection kwenye application kuna sehemu ya kusave au kusabmit make nmetumia cm yangu lakin sioni chchote badala ya print na je nkitaka kuangalia programes nilizochagua nafanyaje shukrani
  4. Jeff the profucer

    Njombe Sec.Iringa

    kwa anayefahamu uniform za njombe sec kwa advance anitaarifu
  5. Jeff the profucer

    Songea Sec Songea mjini

    kwa anayefahamu uniform za njombe sec kwa advance
  6. Jeff the profucer

    Mzumbe sec

    Kwa anayefahamu uniform za advance mzumbe sec anijulishe
  7. Jeff the profucer

    Msaada wa chuo cha kusoma

    habari wakuu nahitaji mawazo ya chuo cha kusoma Bsc in nursing coz mwaka jana nlibugi kuomba mkopo nna c flat ya CBG
  8. Jeff the profucer

    Kairuki universty

    Msaada kwaanaye kifahamu vizuri chuo hiki hasa ktk maswala ya nursing coz nampango wa kuaply Bsc in nursing
  9. Jeff the profucer

    Tatizo la sauti kwenye Tecno M3, naomba msaada

    Naomba msaada namna ya kutatua tatizo hili CM yangu nikipigiwa Simsikii anayenpigia lakin yeye ananiskia kama kawaida sjui nlekebishaje?
  10. Jeff the profucer

    Bsc in nursing St John university Dodoma

    Habari wakuu, Naomba kujua kwa wanaopewa 100% ya mkopo St John kwa nursing wanaongezea kiasi gani manaake nna mpango kuapply this year
Back
Top Bottom