So hapo ndo jibu la hoja kwamba nyie ni pumba tupu mpaka mnapewa msosi na wachina huku ukijitapa mpo vizuri kiuchumi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ongezea na hili wa vyoo vichafu na vibaya
Yani bar kubwa ila vyoo ni kama bar ya pombe za kienyeji. Nishakaa na manzi hapo alipoenda chooni akashindwa tumia hari mbaya na mie kwenda cha wanaume kichafu kupita kiasi
Akili ndogo uwezo wa kufikiri huna
Sisi tumewauzi nyie kwa faidagame over na nyie kwenda kuuza ni sawa wala sio ujanja ni biashara ukiwa smart.
Kuwa Big thinker sio kuwa kilaza na kuwa na fikra za kizamani.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Smtym bora kunyamaza kuliko kuandika mashudu.
Sent from my H3223 using JamiiForums mobile app
[emoji1787] [emoji1787]
Ugonjwa ugundulike SA afu unawafungia Watanzania huu ni usanii wa kiwango cha lami.
SA wameiacha na majilani zao then wanafungua waTZ
Wonders will never end
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my H3223 using JamiiForums mobile app
Once kondoo always will be kondoo
Shida mnapenda sana sifa yani wakenya wote wana tabia ya kijaluo
Wamewasaidia nini sasa corana inawanyoosha madeni mpaka kichwani white elephant project ndo za kuwaga yote kutaka sifa huku mnalala njaa
Sent from my H3223 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.