Search results

  1. M

    Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    mwanamke ndio mpumbavu sana, huwez kumcheka mwanamme wkt yy habebi mimba.....
  2. M

    Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    brenda18 hili jambo binafsi limeumiza sana moyo wangu..... hata mpenzi sasa unamwangalia kwa jicho la 3.....
  3. M

    Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    maex watamu eeehh?? stori hii na ile nyingine ya yule alietoa penz kwa x mchana na 'hubby' usiku zimenifanya nitafakari upya uamuz wangu wa kutaka kuoa!!
  4. M

    Ninavyoendelea kumdanganya huyu mrembo

    wewe ni mpumbavu sana tena sio kidogo!! yan unajisifia kuchepuka, eti nina michepuko mingine mitatu, kha??? yan sasa ndo nataman kile kisa cha dada kushika mimba ya x wake (kulala na x mchana, usiku mme) kingekuhusu ww... NYIE NDO MNAFAA KUOA WAKE WENYE ROHO YA SHETAN MLEE VITOTO VISIVYO...
  5. M

    Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

    mkuu sio malaya bali ni KAHABA NA CHANGUDOA ALIEKUBUHU KATIKA USHWETANI HUO!!..... unamsakizia mmeo mimba? kwel hakuna maana ya kuoa!!
  6. M

    Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

    km kuchepuka wacha wachepuke ila hili la kumletea mtu mtoto asie wake alee as if ni wake,, huu ni UVUNJAJI WA HAKI ZA WANAUME!! wanawake wa aina hii hata sijui wapewe adhabu gani
  7. M

    Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

    hiyo ni ya mchepuko tu mana mchepuko ndo alieanza kulala nae.... pili kibiolojia x wako huwa na nguvu hivyo anarelease virutubisho kwa uharaka.... ipo complicated kidogo lakn ktk hali hii hata angeanza mme then x ingekua ya x tu
  8. M

    Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

    hebu wacha ujinga wako basi..... hapa hatulaumu kuchepuka kwake ila tunalaumu kumbambikizia mmewe mimba/mtoto asie wake kwa maksudi... km alitaka kuchepuka si angetumia kinga tu?? yann kulala na x wakat unajua upo siku hatar?? ivi ww unajua uchungu wa kulea mtoto asie wako?? mke hapo hana cha...
  9. M

    Rais Mstaafu Kikwete amtambulisha Makamu wa Rais Mama Suluhu kwa Rais wa China

    viwanda gan wachina wamejenga hapa bongo ktk utawala wa jk?? vitaje na tupe faida yake kwa mtanzania!!
  10. M

    Kumruhusu mkeo kufanya kazi ni sawa na kumpa talaka isiyo na maandishi

    pale ukweli unapokua mchungu hupelekea watu kumvaa mtoa mada na sio mada yenyewe!! 90% ya wanandoa walioajiriwa hili linawahusu sema kuzuga tu
  11. M

    Kumruhusu mkeo kufanya kazi ni sawa na kumpa talaka isiyo na maandishi

    sio lazima mwanamke aajiriwe dada, kwa mtazamo wangu nadhan mwanaume awe na investment za uhakika ili hili lifanikiwe
  12. M

    Uchokozi: Rais Magufuli unajua haya?

    kuna watu (sijui tuite watoto) hapa jukwaan kazi yao kubwa kubisha tu..... ivi nan hajui km wanaoguswa huko bandarini na TRA ni ccm damu damu?? nani hajui km hao ndo wanaofanya ccm ipate jeuri ya pesa?? nyie watoto mlioko humu jifunzeni, sio lazima kila uzi mchangie.....
  13. M

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    anachagua team yake kutoka ktk wale available..... sasa una uhakika gan km taarifa za jamaa alizopewa coach zilkua sahihi am sio sahihi?? wabongo tuko judgemental sana kwenye vitu vya kitaalam.... km sio eligible ilkuaje bench zima la ufundi wamwache RB ampange huyo jamaa?? does that make sense???
  14. M

    Ushauri: Anasema tuachane lakini tuwe marafiki, inawezekana kweli?

    bado mko kwenye 'mapenzi' mkuu na nyie ndo mara nyingi hupasha viporo..... huwez kukubaliana na hili kwa sasa, may b hakuna anaetaka kuliongelea!! case ya pili ni kwamba huenda hamkuwa kwenye 'mapenzi' ndo mana hamuoni tatzo kuendelea kuwa marafiki... dhana halisi ya mapenzi ikiondoka hamwezi...
  15. M

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    mwisho wa siku tunapata funzo kwamba madrid siku izi haina utamaduni unaoeleweka!!! hawa OVERRATED & OVERHYPED galacticoz ni hovyo kabisa..... nataman zirud enzi la RAUL
  16. M

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    mkuu management haiko km unavowaza wewe..... hii ni kazi ya jopo zima la ufundi... kumbuka kuna team analyst, kuna wa kutunza record usidhan RB aliamua yeye na mkewe hiko kikosi... hii ni aibu ya uongozi wote wa madrid toka president mpk watunza vifaa..... subir uone fukuto lake baadae.... haya...
  17. M

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    usikute hata hujui tatizo nan?? u hate the man nothing more..... is he working alone?? man up dude
  18. M

    Mrejesho: Ukiona mwanaume analia ujue ameguswa pabaya

    nimejaribu kutafuta ushauri uliompa sijauona....... wanaume sisi akili zetu nazo dah
  19. M

    Ushauri: Anasema tuachane lakini tuwe marafiki, inawezekana kweli?

    mkuu chukua hii toka kwangu itakusaidia... ukikuta bado mko marafiki na x wako ni dhahiri kwamba 1. hamjawah kua kwenye 'MAPENZI' 2. bado mko kwenye 'MAPENZI' zaid ya hapo HAIWEZEKANI ....CHUNGUZA
  20. M

    Ushauri: Anasema tuachane lakini tuwe marafiki, inawezekana kweli?

    msichana na mvulana ni wale tu ambao hawajawahi zini..... hii ndo tafsiri halisi ya hayo maneno..... ndo mana wale watawa wanaitwa 'sister' sio makosa bali ndo ukwel... ukishazin ww ni mwanaume au mwanamke.... ukizaa wewe ni mzazi (mama au baba) hata km mtoto kafariki ... GOT ME??
Back
Top Bottom