Search results

  1. hector

    Waislamu nielewesheni, Baraza la Ulamaa ni nini hasa?

    Key word 'Hakijawahi kuwepo' Walio wengi wanaufahamu ukweli ila ni wachache wenye guts za kuukili ukweli. Kila zama na kila jamii toka zama za kale zilikuwa na dini yake, baadhi ni maarufu baadhi si maarufu ila kila jamii ina dini na historia yake. Kwa mfano, Wagiriki walikuwa na miungu yao...
  2. hector

    Hivi mwanamke huyu kabisa hawezi kuwa Tom boy kabisa?

    Una miaka mingap ?? This sounds childish
  3. hector

    Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

    Hamna anayemtetea mtu hapa. Hatubishani. Tunaelimishana. Je umeuona utetezi wa wenye hiyo hotel??? Umetoka hivi punde Umeshausoma?? Wao wanadai huyo mlinzi na huyo dada walikua ni wapenz na at the end of day huyo dada alitaka compesataion ya 10,000 usd sawa na mil 25 cash ili aondoke tanzania...
  4. hector

    Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

    Alitoa taarifa polisi na polisi walifanya kazi yao walimchukua meelezo na kisha baadae wakampeleka hospital kumpima ambapo majibu yalitoka kuwa hakuingiliwa kimwili. Sasa polisi hapo wafanyeje? Walazimishe kuwa kabakwa? Mgogoro kati yake na polisi ni pale tu polisi walipomwambia hairuhusiwi...
  5. hector

    Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

    Asante kwa tusi lako. Video nimeziangalia zote tena kwa umakini sana. Aliyekuwa anafoka ni yeye au ni polisi? Yeye ndiye aliyekuwa anashout. Walichokuwa wanamwambia ni kuwa hairuhusiwi kuchukua video ndani ya kituo cha polisi yeye anakaidi na kupiga kelele. Maelezo alichukuliwa na hospital...
  6. hector

    Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

    Your very young and naive. You dont get the point.. why alalamike mitandaoni? Huko kwako hakuna vyombo vya sheria? Hakuna ubalozi wa Tanzania huko Nigeria..alienda kutoa malalamiko yake? We leo hii ukibakwa utapost instagram au utaenda kwenye vyombo vya sheria???
  7. hector

    Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

    Hakuna anayesupport hayo matendo ya harassment,wizi na ubakaji. Binafsi na jamii zote zinayapiga vita. But the point is attempted rapes, wizi wa majumban, hotelin, etc ni matukio ambayo yanayokea kila nchi duniani. Kwanini leo Tanzania inatrend mitandaoni kuhusu ilo tukio la mwaka jana la...
  8. hector

    Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

    Fungua akili yako. Tukio limetokea 21 april 2021 lakini muhusika amekuja kuripotia mitandaoni jana 16 apr 2022. Amekaa nazo hizo clips na picha mwaka mzima bila kuziexpoze popote pale kwa muda wote huo kwanini?? Hawa watu huwa sio watalii kama mnavyodhan, Ashaingiza pesa tayar huyo. Ametoka...
  9. hector

    Zitto: Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani

    Sawa basi subirini mradi ukamilike. Mgao wa umeme kwa sasa haukwepeki. Mvua hakuna. Kimo cha maji kimepungua kila sehemu mpaka mito mingine imekauka. Ni janga la kitaifa la kiasili. Hakuna wa kulaumiwa
  10. hector

    Zitto: Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani

    Unasema wananchi mnataka umeme kwa namna yoyote ile! Sawa mkiletewa umeme kwa style ya Richmond, Dowans, IPTL mnaanza kulia lia tena, ohh tumepigwa tumepigwa, mafisadi wamerudi, n.k Msipende majibu mepesi kwenye maswali magumu. Msipende short time solutions kwenye long time problems. Ukweli...
  11. hector

    Ilikuwaje watu wakaamini kwamba Tanzania inaweza kuendelea bila kushirikiana na dunia?

    Trust me JPM was no fool. He was very intelligent. Alijua kujenga hoja. Kwa namna ya kipekee kabisa alijua pia namna ya kuwaaminisha watu yale aliyotaka watu wayaamini. He was well informed. He had access to every inch of information you can imagine of. He was a hard worker. Alisoma sana kila...
  12. hector

    Ilikuwaje watu wakaamini kwamba Tanzania inaweza kuendelea bila kushirikiana na dunia?

    To be honest i admire your reasoning. Umeandika vyema. I believe 'diplomacy is an art of compromise' Sasa kwa magufuli hili lisingewezekana hawezi 'kucompromise' maana deep down kiasili yeye ni mtu wa kuamini anachokiamini yeye tu, hashauriki na hili amelisema mara kadhaa ata hadharani kwamba...
  13. hector

    Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

    Wapi Nyani Ngabu . Naona Home boys wako wanazid kupukupita tu siku hadi siku.. Mama bado anaupiga mwingi au apunguze kidogo 🤣🤣
  14. hector

    Ndoa yangu inateketea

    Mkuu ngoja nikusaidie kitu. Kwa hulka na aina ulivyoleta hii mada inaonesha kwamba u are a decent guy. Na maamuzi ulishayafanya siku nyingi ila umekosa mtu wa kukwambia kwamba je ni maamuzi sahihi au sio sahihi. Sasa basi kwa kukusaidia tu maamuzi uliyoyafanya ni sahihi kwako na kwako wewe tu...
  15. hector

    Kwahiyo Makonda ndiyo kashasahaulika hivyo?

    We fala kweli. Ndiyo angeongezewa muda. Huo ndio kweli. Bila kifo kumchukua JPM angeendelea kuwa rais kwa muda mrefu tu. Na kwa makonda pia atarudi ulingoni labda afe kama mwendazake vinginevyo akiwa hai lazima atarudi kwenye medani za uongozi wa nchi hii. Narudia tena utake usitake
  16. hector

    Kwahiyo Makonda ndiyo kashasahaulika hivyo?

    Simkubali Makonda. Ila its obvious kwa siasa za CCM na Tanzania kwa ujumla ni vigumu sana kwa mtu kama Makonda kupotea jumla. Ana umri mbele yake. Ana connections kwenye chama na systems. Na pia ana watu ambao bado wanamkubali na kumuona kama mtu shupavu na jasiri mwenye maamuzi na ambaye anafaa...
  17. hector

    Zaidi ya bilioni 200 kutumika kutandaza mkongo wa Taifa wa mawasiliano wenye urefu wa 4244km kwa kutumia miundombinu ya TANESCO

    Aiseeee kazi ipo.... Yaani hiyo ndiyo tofauti kati ya 'waya(wire)' na 'mkongo(optical fiber)' ??
  18. hector

    #COVID19 Dar: Askofu Ruwai’chi aagiza mapadri wote kupata chanjo dhidi ya UVIKO-19

    Wewe hujui chochote kuhusu Kanisa katoliki. Toka lini askofu wa jimbo husika akatoa ushauri kwa mapadre wa jimbo lake. Siku zote askofu huwa anatoa 'maagizo' na sio 'ushauri' kwa walio chini yake. Na kamwe haiwezi tokea wala haitokaa itokee chini ya jua akatokea 'Padre wa Kanisa katoliki'...
Back
Top Bottom