Search results

  1. Kigarama

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    siasa za Marekani ukizitazama kwa jicho la Tanzania huwezi kuzielewa kabisa. Kwanza kuna vyombo vingi vya habari na kila chombo cha habari kina mlengo wake wa siasa. Kwa ivo usipofanya subira na kulinganisha kile unachopata toka kwenye kimojawapo cha vyombo hivyo vya habari na habari toka vyombo...
  2. Kigarama

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    Mjadala huu unaturudisha mara kwa mara kuja kuchungulia JF kuna nini. Nguruvi3 Mag3 na wengineo mnatufanya tukumbuke zama zile. Kwa kweli majadiliano yenu yanatupa faraja kwamba JF itaendelea kuwepo active kwa kipindi kirefu kijacho..
  3. Kigarama

    Watanzania msilitegemee Kanisa kuitoa CCM

    Mimi ni mkristo kwa viwango vyote vinavyotanmbulika duniani, kwa ivo maoni yangu dhidi ya kanisa (Siyo dhehebu) ni halali na si dhidi ya dini ya watu wengine kwa ivo ni lazima yaheshimiwe kama maoni binafsi. Kanisa ni wale wote ambao wanaamini kwamba Kristo alizaliwa na Bikra Mariam...
  4. Kigarama

    Uzi maalum wa kutupa lawama na kulaumu viongozi wote hwenye dhamana na serikali yao

    Sina kiongozi yeyote wa kumlaumu bali nawalaumu watanzania wenzangu kwa kuwachekea CCM na mazingaombwe yao ya kila siku!!
  5. Kigarama

    Duru za Siasa: Awamu ya 5 - Uongozi na Yanayojiri

    Haya mambo Nguruvi3 yana shina lake na hilo shina linalisha mti unaotoa lishe kwa watu wengi sana na kwa bahati mbaya wakitoka hapo hawana pa kwenda na wakikosa pa kwenda pia watakosa na mlo wao wa kila siku. Huko tulikotoka tuliona kama vile tupo kwenye ardhi oevu, lakini hapa tulipo ni kama...
  6. Kigarama

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    Nguruvi3 na Mag3 kwa mfano mambo haya yakiselelea mpaka kwenye Impeachment ya Trump je Dems wapo tayari kuzihimili athari zake? Na kwenye uchaguzi ujao nafasi ya Dems itaongezeka ama ndiyo itapotea kabisa?
  7. Kigarama

    Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM!

    Du! kidogo nimwite FaizaFoxy aje acheze na wewe!! Wivu wa Kike?
  8. Kigarama

    Msimamo: Nitasimama na Majemedari Ninaowajua, Tuliopigana Vita Pamoja Nao...

    KWANINI CHADEMAWAMEMCHUKUA LOWASSA?? (Kama una akili ndogo usisome)Mnamo mwezi February mwaka huu Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) waliingia ubia na kampuni maarufu duniani inayojihusisha na tafiti za siasa (Political Research) ijulikanayo kama Greenberg Quinlan Rosner. ( Greenberg Quinlan...
  9. Kigarama

    Lema: Heshima kubwa kwa Mungu kumzomea Fisadi Lowassa

    Wekeni akiba ya maneno kila mnapozungumza!!
  10. Kigarama

    Kinachojiri kutoka Millenium Tower DSM, Kutangazwa mgombea Urais wa UKAWA

    Enzi hizo mji umeishia Magomeni nakumbuka kucheza mchezo wa kujificha na Kidali Poh! anayejua alipo Molemo amstue aje hapa kuleta Updates!!
  11. Kigarama

    Lowassa kutangaza rasmi msimamo wake Julai 13, 2015, ACT wajiandaa, CCM kupasuka

    Haya ni maneno ya Sheikh Thabit Kombo ni busara kuyasikiza!!
  12. Kigarama

    Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

    Kila siku tunapiga kelele humu ndani tukisema fanyeni jambo la kwanza kwanza (First thing First) tunaambulia kuitwa magamba! CCM haijawahi kushinda uchaguzi eti kwa kuwa ina wagombea wazuri au ina sera nzuri. CCM hushinda kwa kuwa ina mikakati timilifu, basi!!
  13. Kigarama

    Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

    Asiyesikia la Mkuu...
  14. Kigarama

    Hata kama huipendi CCM, lakini mikakati yake utaikubali!

    Nimeona walivyo weka kama chambo kwa kumweka Membe, Team Lowassa wakarudi kupiga kura kumtoa Membe na kwenye Mkutano Mkuu kumtoa Asha Rose Migiro. Lakini hiyo ni njia iliyotumiwa kuzima uasi wao!!
  15. Kigarama

    Mzee Ngoyai umekatwa hatukubali umekaa kimya hatukubali

    WANAJUANA NA WAMEKUBALIANA!!
  16. Kigarama

    Who is CCM's Architect?

    HAWAJAKUTANA BARABARANI HAWA!!
  17. Kigarama

    kosa la kwanza la mh.dk. magugufuli j.p.

    NAMTUMBA CHADEMA walishawahi kuwa na Mgombea Mwenza Mwanamke kwenye uchaguzi wa mwaka 2005 Bi Mkubwa Anna (Maulida) Komu! Au uwe unamaanisha una mashaka na ubora wa Bi Samia Suluhu!
Back
Top Bottom