Search results

  1. L

    Biashara ya gesi ya kupikia

    Ndugu wadau, kwa yeyote anayehitaji kufanya biashara ya kuuza gesi za kupikia pamoja na vifaa vyake tuwasiliane. Nimekuwa nikifanya hii biashara kwa kipindi cha miaka mitano sasa nikimiliki maduka kadhaa hapa Dar es Salaam. Kuna duka moja dogo lililopo eneo la vingunguti ambapo mbali na gesi...
  2. L

    Mitungi ya gesi ya kupikia aina ya oryx

    Habari wana JF! Nina mitungi mitupu( empty cylinders)ya gesi ya kupikia aina ya Oryx ujazo ni 6kg na 15kg, nilikuwa nafanya biashara hiyo ya kuuza gesi ila kwa sasa nimeamua kuicha kutokana na kubadilisha mazingira ya makazi. Kwa yeyote anayehitaji ani-PM au tuwasiliane hapa. Asanteni.
  3. L

    Mwenye ufahamu kuhusu mishahara ya NDC!!

    September mwaka huu Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) walitangaza nafasi mbalimbali kwa ajili ya kiwanda cha madawa kinachojengwa Kibaha, na leo wameanza kuita watu kwa ajili ya interview. Anayefahamu viwango vya mishahara pamoja na marupurupu anijulishe tafadhali.
Back
Top Bottom