Search results

  1. ras jeff kapita

    Biashara zinazolipa mipakani Tanzania na Zambia

    Ww nenda kajichanganye huko huko.Utajua tu
  2. ras jeff kapita

    Ni upuuzi kuongea mambo ya ofisini kwenu maeneo ambayo hayahusiki na kazi

    Ni kweli kabisa. Ni bora wachambue hata Kolo linavyoyumba. Wao wanakazana tu na mambo ya ofisi
  3. ras jeff kapita

    Ukiwa mjinga ndio unaitwa “A caring and an understanding boyfriend”

    Huyo yuko sahihi.....huwajui wanawake ww zaidi ya kuwaona wakipita. Kula darasa
  4. ras jeff kapita

    Kuna raia wa nje anataka kunitapeli

    Hapo anakutapeli nini !!???
  5. ras jeff kapita

    Huu uvaaji wa Millard Ayo kwenye msiba wa Gardner umenishangaza sana

    Sema hiyo buti kamuiga Kanye West
  6. ras jeff kapita

    Huu uvaaji wa Millard Ayo kwenye msiba wa Gardner umenishangaza sana

    Umeacha kushangaa wazungu wanao vaa ch. upi.....mchana kweupe unakuja kumshangaa kijana aliyevaa kwa heshma kabisa?
  7. ras jeff kapita

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Huyu hana miaka 60 huyu ana miaka 70/80 alipaswa awe mwenyekiti wa jumuia au sheikh flani hv
  8. ras jeff kapita

    Wafanyabiashara wafikishwa Mahakamani kwa Kusafirisha Heroin kilo 58.62

    Kuna kitu kinaitwa inventory sio lazima ulete madawa mahakamani. Wala polisi hawapeleki madawa kama kielelezo mahakamani isipokuwa kuna inventory huwa inajazwa na wataalam./ Inventory ni form maalum. Madawa huwa yanateketezwa
  9. ras jeff kapita

    Ona hukumu ya mikopo chechefu kutoka Court of Appeal

    Nafatilia kesi ikiwa struck out sio kwamba imekwisha. Bado rufaa inaweza kurudishwa upya
  10. ras jeff kapita

    Dar: Barabara ya Jangwani imefungwa kutokana na mafuriko

    Mimi nimeishia Bar nachakaza beer
  11. ras jeff kapita

    Tumefikia huku? kwamba mzazi anapata taarifa ya kifo cha mtoto kwenye soshomedia?

    Gardner ni mtoto wa social media Jina kubwa usishangae vitu kama hivyo. Hata mfanya usafi anaweza kuvujisha taarifa
  12. ras jeff kapita

    Ewe Muajiriwa: Mara paap umesitishiwa ajira yako, utafanyaje?

    Kituo cha kwanza ni Bar .....alafu akili inajichaji once again
  13. ras jeff kapita

    Mwanamke akikusaliti na mwanaume mwingine muache mara moja

    Kwanini wanaume wanaumia sana wakisikia wamechitiwa. Hii episode ulishatoa?
Back
Top Bottom