Search results

  1. Liutenant

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hii timu inajua kuikamia Liverpool na Arsenal tu.
  2. Liutenant

    Nawadharau sana Waingereza kwa kuendeleza utawala wa Kifalme

    Nyie ni akina nani hapo? Utawala wa kwangu unaufahamu?
  3. Liutenant

    Mgunda atakaa jukwaani, kutoiongoza Simba Malawi

    Kanjibai kashapiga hela anaanza uswahili.
  4. Liutenant

    Mgunda atakaa jukwaani, kutoiongoza Simba Malawi

    Simba inaendeshwa kienyeji sana siku hizi
  5. Liutenant

    Salamu za rambirambi

    Nshomile bana.
  6. Liutenant

    Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

    Kaisome post pale mwanzo mpaka uielewe.
  7. Liutenant

    Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

    Mungu ndio anachagua wakuwahishwa.
  8. Liutenant

    Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

    Hamna haja ya kujionesha hapa jukwaani. Magufuli alishahukumiwa kwa matendo yake maovu.
  9. Liutenant

    Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

    Wewe ni mshabiki wa magufuli hivyo hauwezi kufanya reasoning, nakuacha.
  10. Liutenant

    Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

    Kila mtu siku yake ikifika atalamba ardhi.
  11. Liutenant

    Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

    Mbona hasira sana? Kila mtu atekeleze katika sehemu yake.
  12. Liutenant

    Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

    Lugha yako inathibitisha madai yangu.
  13. Liutenant

    Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

    Having some problems? This should be directed somewhere else.
  14. Liutenant

    Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

    It is a great thing that now we welcome opinion from every individual in the bid to build our democracy and society. These things were far above the reach of the long gone guy.
  15. Liutenant

    Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

    Yuda alijinyonga, hakuomba msamaha.
  16. Liutenant

    Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

    Kama ni hukumu basi ilishamfikia mkosaji. Wengine tuombeane heri.
Back
Top Bottom