Search results

  1. D

    Ni mchezo unapangwa CCM na Mkurugenzi wa Ilala wala si uchaguzi

    Wanabodi,nimemuona mkurugenzi wa manispaa ya Ilala bwana mungurimi akiwa na mwanasheria wa manispaa hiyo wakidai Wana zuio la mahakama,ukweli ni kwamba wanatafuta kila njia waibebe ccm hata kwa kuwatumia polisi na huku mahakama imitumika kama ngazi tu. Hawa waliisha kula nyama ya watu kamwe...
  2. D

    Ugaidi na nchini na kauli ya jeshi letu la polisi

    Wanajamvi, sasa ni dhahiri kabisa kuna mtandao wa ugaidi hapa nchini.Lakini mbona jeshi letu la polisi halionyeshi dhamira na ukakamavu kama ule wakati wanawashugulikia akina Lwakatare wa chadema?Sote tunajua wazi kuwa ile picha ililenga kuwaminisha kuwa chadema kuna magaidi ilitungwa ili...
  3. D

    Mkweli ni yupi Kikwete au ni Pinda na Makinda na bunge lao?

    Wana jf. Tumeshuhudia mkanganyiko wa viongozi kuhusu mahakama ya kadhi, Rais kasema serkali haitajihusisha na mahakama hiyo,anaruka kwenda usa masaju na pinda waandaa msuada wa mahakama ya kadhi ili uwasilishwe bungeni. Hivi hii ni serikali ya namna gani jamani? Rais kikwete awe makini na baadhi...
  4. D

    Sasa tunashuhudia miswaada ya sheria yenye utata ikipelekwa bungeni kulikoni? W

    Wanajamvi ni muda mrefu sheria nyingi wananchi wamezilalamikia kuwa hazina manufaa kwa taifa lakini utawala huu wa kikwete hawakutaka kusikia mfano mikataba ya madini, misamaha ya kodi kwa wanoitwa wawekezaji, deni la taifa na mengineyo mengi. Baada kunufaika na mfumo huo wa wizi na...
  5. D

    Kwa nini jeshi la polisi lilinde maovu ya ccm kwa gharama ya kuangamiza wananchi??

    kumetokea wizi mkubwa wa fedha za tegeta escrow wezi ni viongozi wa ngazi za juu wa chama cha ccm na serikali yake,hatujawahi kusikia kauli wala hatua kuchukuliwa na jeshi la polisi. waliokamatwa na kufikishwa mahakamani ni makarani wa taasisi mbalimbali lakini wachonga dili jeshi la polisi lipo...
  6. D

    Ama kweli CCM ni nambari wani

    wanajamvi nimekuwa nafuatilia ziara ya waziri magufuli ya ukaguzi wa barabara mikoani na matamshi anayoyatoa kwa wananchi juu gharama ya ujenzi wa barabara hizo,mh magufuli bila hata aibu huku akijua anawadanganya wananchi kuwa barabara hizo zinajengwa na ccm,huku akijua kuwa ni fedha...
  7. D

    Naenda mahakamani kufungua kesi dhidi ya viongozi waliopora nyumba za umma

    Wanajamvi rejea somo hilo hapo juu. Nimewaza,nimetafakari na sasa nimeamua kuwasiliana na mawakili kuangalia namna ya kuwafungulia mashtaka viongozi wa awamu ya tatu na awamu hii ya nne kwa kujimilikisha nyumba za umma. Hawa ndiyo nitaiomba mahakama iwaite mahakamani kujibu tuhuma hizi. A)...
  8. D

    watanzania tukatae kabisa uongozi huu dhaifu kutuchagulia rais ajae.

    wanabodi kama tujuavyo the election is just around the corner,ni vyema kila mtanzania mpenda nchi hii kutoa elimu ya uraia kwa kila ukutanae iwe njiani,ndani ya vyombo vya usafiri,kwenye majumba ya starehe yaani popote pale unapokutana na mtanzania mwmbie akajiandikishe na kisha aende kupiga...
  9. D

    Watanzania tukatae kabisa uongozi huu dhaifu kutuchagulia rais ajae

    wanabodi mtakumbuka kama miaka miwili hivi imepita uvccm mkoa wa pwani baada ya kumaliza kikao chao walikuja na tamko kuwa rais ajae hawezi kutoka kaskazini na kwamba rais ajae ni rais kikwete ndiye anamjua,hivi kweli kutokana na mambo ya ovyo mfano wizi,utapeli na ufisadi wa kupindukia tukubali...
  10. D

    Mbona hatujawahi kusikia kauli ya prof kikwete juu ya maovu ya kila aina yanayojitokeza hapa nchini?

    Wapendwa wanajamvi hivi mh.rais kikwete matukio haya ya wizi wa mamilioni ya fedha za umma yanayotokea ktk serikali yake mbona hatusikii akiyatolea kauli? Ukatili mkubwa na wa kishenzi unaofanywa na polisi kuua watu kudai na kupokea rushwa kwa nguvu {asikari wa pikipiki} na uchafu mwingi kwa...
  11. D

    Lowasa bado ni karata muhimu kwa tiketi ya ccm.

    wanajamvi kwa utafiti mdogo tu Mh edward Lowasa ndiye pekee anayeweza kuwakabili ukawa hasa kama ukawa watamteua Dr Slaa kama mgombea wao, hawa wengine wanaojitangaza kila kukicha ni makapi ya chama changu ccm. tuna uhakika anaempiga vita ni uongozi wa juu wa chama kwa sababu zao zilizo wazi...
  12. D

    Tegeta Escrow

    Moderator:Ni kwa namna gani hii nchi ikahalalisha fedha zilizoibiwa kwa kukatwa kodi kama fedha halali ilhali waziri akijua kuwa zimeibiwa toka benki kuu.Wakati huo naibu waziri wa fedha Mwigulu Nchemba akitaka zikatwe kodi bila ya kawakamata watuhumiwa(wezi) hao na kuwashtaki pia kurejesha...
Back
Top Bottom