Search results

  1. P

    CCM inafanya kazi kisayansi zaidi kuliko CHADEMA

    Ni kweli prezda amafanya mambo ya kistaarabu sana, Meli ya alshabab kinana imekamatwa imesheheni meno ya tembo wetu huko ughaibuni, ajabu kinana yu huru anaendelea kununua wanachama kigoma kwa fedha ya walipa kodi wa tz amini usiamini
  2. P

    Sheikh S. Mwaipopo: Hoja ya watu wa Mtwara juu ya gesi ni Upuuzi!

    shehe huyu ananufaika na utawala wa kifisadi au anatumika kama toilet paper maana ni mwepesi wa kutoa kashifa bila kufikiria, ajue ustaarabu ni pamoja na kuheshimu mawazo ya wengine siyo kwenda na kopo la maji maliwatoni tu
  3. P

    Polisi waliojeruhiwa wakati wa mauaji ya Mwangosi

    Hawa ni wahuni waliopatiwa mafunzo ya janjaweed huko ulemo iramba chini mh nape, nchemba na huko mvomero kwa mh makala hao bila kuona sare ya kijani katu hakuna utii awe policcm awe wa cheo gani awe rpc or ocd hapana jali hata hivyo siku zao zinahesabika MUNGU AWE UPANDE WA WAPEMDA HAKI WOTE
  4. P

    Kuvuja siri & kauli ya Msajili vyathibitisha ukweli wa mtonyaji serikalini kuhusu vifo mikutanoni

    :flypig::flypig: Hekima,Busara na usomi wa cheo cha mzee mh tendwa ameudhalilisha, picha walizopigwa policcm wakimlipua mwandishi wa habari zinatoa jibu nani kaua hii haihitaji uwe umesoma au haukusoma. CCM wanawatumia vibaya policcm na hivyo wao wanajichonganisha na wananchi wenye kufikiri...
  5. P

    CCM sasa wameishiwa sera

    waTZ tunahitaji viongozi wenye busara siyo hawa wanaotumia masaburi kwa kawaida hatuzuiani kwenye mikutano ya kampeini isipnkuwa kwenye usangoma au mitambiko, kama walikuwa wanatoa kafara au kutambika au kuwanga mchana waseme?Akili na Sura ya hilo zee vinafanana
  6. P

    Magufuli: Lipumba amevunja sheria kupanda punda kwenye lami

    Magufuli si msafi ni wale wale hamkumbuki aliuza nyumba za serikali kiholela, anabomoa nyumba za waTZ bila kuwalipa stahiki zao, alidhurumu barabara ya lami ya wana biharamulo pia alichakachua uchaguzi mkuu Okt 2010 bado msafi tu!
  7. P

    Elections 2010 Magufuli atoa rushwa kuisaidia CCM Igunga

    Takukuru mnasemaje rushwa za aina hii, bajeti na mipango ya maendeleo hupitishwa na bunge la jamhuri ya muungano hii ya magufuli imepitishwa na nani kama si rushwa ni nini basi? Dk hosea kazi kwako
  8. P

    Magufuli: Lipumba amevunja sheria kupanda punda kwenye lami

    Hana jipya huyu kasababishia hasara TZ kwa kuuza nyumba za serikali bila utaratibu pamoja na kuwadhurumu wananchi wa biharamulo barabara lao la lami, jana yy na mzee mwenye sura kama..,.? Wamedanganya kujenga daraja la mbutu na kupeleka maji igunga kutokb shinyanga kwa BAJETI IPI HALI BUNGE...
  9. P

    Kamati ya Mrema yakwaa kigingi Ikulu

    Hilo ndo gamba la kichwa lililowashinda mafisadi wa sisiemu kulivua, kazi ipo si mchezo maana uchafu wote unaanzishwa na BMW & MASWAIBA WAO, upo hapo Mrema nakushabikia kwako chama cha magamba? "KALUPUNDU BA MAYU" (vigeregere akina mama) Rais Mkapa, 2005 Tarafa ya...
  10. P

    Ni aibu kubwa mwanasiasa kujidhalilisha kiasi hiki...

    Njaa mbaya Mhe huyu atafanya lolote ili ale, chama cha updp ni tawi la chama cha magamba hivyo anatimiza wajibu wake vinginevyo atafutwa kwenye ulaji (bila jitihada za kutetea mafisadi hawezi kumudu maisha)
  11. P

    Kikwete atajivunia nini baada ya kumaliza kipindi cha utawala wake?

    Riz1 kuwa bilionea, kuwatosa mafisadi wenziye bila aibu ra, el, ec a.k.a vijisenti na kushindwa kulivua gamba lake ambalo ni gamba la kichwa cha Nyoka CICIEMU mwenye sumu kali (HATUOGOPI GAMBA LA NYOKA BALI TUNAOGOPA MADHARA YA SUMU YAKE)
  12. P

    Nape atasafisha chama alichokuwa anakichafua?

    Gamba si kufukuza wachache kwenye ulaji, fukuza wote waliotajwa mwembeyanga na tabora na watendaji wabovu serikalini (S/kuu & H/W) pamoja kuwakabidhi kwenye mkono wa sheria, Pia sisiemu watekeleze ahadi ya"maisha bora kwa kila Mtanzania" kwa vitendo siyo hili changa la macho, yakisha kutimia...
  13. P

    Msekwa: Yafaa spika kuwa mwanasheria, Spika Makinda asema si lazima

    Tufike mahali pa kukubaliana na mawazo ya wadau, huyu spika alipaswa kusoma alama za nyakati aachie ngazi mara moja hiyo atajiwekea rekodi ya kukumbukwa katika hostoria ya utumishi wake akiwa spika wa kwanza mwanamke na aliyeachia ngazi baada ya kushindwa kuongoza bunge tukufu la jmt, kushindwa...
  14. P

    CCM wamejivua Gamba: Je CCM siyo Nyoka tena bali sasa ni mjusi tu?

    Nyoka huvua gamba lote kuanzia kichwani hadi mkiani, lakini hii danganya toto ya hawa sisiemu ya kuvua gamba kuishia shingoni na kubakiza gamba la kichwani bado ni kichekesho kama wanataka kuhurumiwa kwa dhambi zao wamtimue jkm, Mwenye kiti na wapambe wake wote wafikishwe mbele ya sheria...
  15. P

    Bungeni: Fungeni Milango Tupigane!

    Katika kufanya hivyo ujue mbunge ananyimwa haki yake ya kuwakilisha mawazo mazuri mbele ya baraza kinachofanyika ni wingi wa hawa sisiemu kuzomea zomea kama mazezeta vile, spika naye kajaa ushabiki wa kitoto inaudhi we acha tu, kwa hali hiyo mbunge mwenye akili timamu hasira inapanda. Bado...
  16. P

    Pinda: Uvumilivu ukimshinda Kikwete msimlaumu - Onyo Chadema

    unayejiita mtoto wa mkulima jk anakupiga changa la macho ashindwe kuwavumilia cdm,hali amewavumili wezi wa rasilimali za taifa letu (anawachekea kila kukicha) itashangaza sana akishindwa kuwavumilia wakombozi wa umma hawa wanatujuza madhambi yote [zinaliwa mali za watz bila mafisadi kunawa...
  17. P

    Miaka takribani 50 ya Uhuru Tanzania: Ni yapi ya kujivunia?

    wakoloni wenye upendo kama akina Williamson Diamonds Ltd hawapo tena fika Buzwagi ujionee, kufa hatufi ila cha moto tunakipata fresh. TULIE NA NEC:rain::rain:
  18. P

    Tshs bilioni 2 kutumika kwa kesi 43 tu za uchaguzi

    KINACHO SIKITISHA NI GHARAMA KUBWA NA CHANZO NI DHANA NZIMA YA UCHAKACHUJI NAWAHUSIKA WAKUU NI TUME YA UCHAGUZI NEC KAMA HAWANA KINGA KISHERIA WAKIWEMO WAKURUGENZI WATENDAJI MBALIMBALI, KWA VILE WALIFANYA MAKUSUDI (KUKIBEBA CHAMA TAWALA KWA % KUBWA KWA MAELEKEZO YA kundi la mafisadi), NI BUSARA...
  19. P

    Pinda akataa shangingi Toyota VX 8 ya Tsh 280 milioni!

    PM pamoja na kuikataa VX haikamilishi kusudio la kupunguza matumizi ya anasa ya sirikali ya sisiemu maana fedha imeshatumika tayari, hii ni sawa na kukataa kupikia mkaa eti unalenga kuokoa misitu/miti inachekesha sana. Mtoto wa mkulima na wengine wenye nia njema na mawazo ya kuwahurumia...
  20. P

    Elections 2010 Kesi za uchaguzi

    Maamuzi yasipozingatia utashi wa wapiga kura utababisha wananchi kutoa uamuzi mbadala tena wenye madhara makubwa kwa aliyepita kinyemela, Enyi sisiem someni alama za nyakati mlioamini kabisa wasukuma ni moja ya mitaji yenu sasa wanatesa na pipozi power ugwiba? "TONGELAGA NSIYA WANE...
Back
Top Bottom