Search results

  1. spika

    Rais Magufuli akiri wananchi kukabiliwa na njaa

    Ni katika hotuba yake ya uzinduzi wa barabara za ghorofa pale Ubungo. Hii ni ishara nzuri kwamba Rais huwa anajipambanua na kujisahihisha. Pongezi Rais Magufuli
  2. spika

    China, Tanzania zatofautiana ujenzi Bandari ya Bagamoyo

    Pengine ni kwa dhamira nzuri ya serikali kuweka mbele maslahi ya Taifa, au ni muendelezo wa diplomasia hafifu tulioanza kuionyesha awamu hii... Kimsingi hatuna uzoefu na miradi complex kama hii ambayo ndani ya nchi inahusisha wizara na idara kadhaa za serikali, ukiacha serikali mbili na...
  3. spika

    Sakata la terminal III:Jina la Magufuli lazidi kupaa kimataifa

    Alianza na Dangote, akaenda kwa Wachina wa Reli na sasa amehamia kwa Wadachi.. Mkuu wetu anazidi kutambulika duniani kwa sifa yake ya kuvuruga wawekezaji na kukiuka mikataba iliyosainiwa kisheria..HAPA KAZI TU! Chanzo: GCR - News - Tanzania orders probe into “inflated costs” of BAM’s airport...
  4. spika

    Kasi ndogo ya utekelezaji wa bajeti na hoja kukataa Masharti, mjadala mpana unahitajika

    By Mwananchi Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema sababu za washirika wa maendeleo kutotoa fedha ni nyingi na kwamba yako masharti waliyotoa ambayo Serikali haiyakubali. Amesema yapo masharti ambayo Serikali haikubaliani nayo akitoa mfano wa waliotaka Mamlaka ya Usimamizi wa...
  5. spika

    Tanzania yazidi kuporomoka maisha bora Afrika

    Ripoti ya utafiti wa shirika la Legatum Institute inaonyesha Tanzania kuporomoka kwa nafasi nane (8) kwa viwango vya maisha bora (tafsiri yangu) kutoka nafasi ya 11 mwaka 2012 hadi ya 19. Rwanda pekee ndio ipo kumi bora katika Afrika ya mashariki. Wenzetu kenya nao wanatuzidi na wamepanda juu...
Back
Top Bottom