Mm namaanisha ninachoeleza...wakati mwingine utumie akili kidogo unahadithiwa kitu nawewe unakurupuka kuleta mbele mbele acha hiyo silazima kila unachosikia au kuhadithiwa ukiandike mengine yasikilize tu..kingine inaonekana we ni bogus kimtindo au utakuwa ni mtoto wa mama ..umbea ukisikia...
Mkuu natengua kauli...ukitulia hapa hapa unaweza kutoboa maisha bila hata kwenda nje..niseme tu nina kaka yangu yeye alibabatiza demu wa kiingereza ameishi huko zaidi ya miaka10 alicho advance ni kuchora tattoo mwilini na ananipa mm shikamoo..niliyekomaa hapahapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.